Hesabu hii imekaaje?

Kwa jinsi ulivyojichanganya, huwezi kupata jibu. In maths, lazima ulichambue swali. Na hapa unafanya:
75 - Waliyotoa mwanzo
- 5 - Change
70 - Iliyobaki hotelini
+ 3 - aliyowapa mhudumu
73 - jumla yake
+ 2 - aliyobaki nayo mhudumu
75 - jumla la hesabu zima

Hivyo hakuna hela iliyopotea. Ni wao wamejaribu tu kukuchanganya. Lazima ujue pa kuanzia katika hesabu siku zote.

10 x 9 = 90 - hii ni total possible number of handshakes
90/2 = 45 - kwa sababu "a" akimshika "b" mkono, basi "b" hawezi kumshika "a" mkono tena. Hivyo inabidi tugawanye kwa mbili!!!
Answer: 45 Handshakes
Interesting!!
 
Wamelipa........75

Wamerudishiwa........5-2=3

Hivyo wamelipa Sh 73 na sio Sh 72

Na mchango wa Kila mmoja utakuwa 73/3= 24.33

Muhudumu kazuia mbili Sh mbili ya watu watatu ni sawa na 2/3= 0.67

24.33
+ .67
25.00 x 3= 75@3
Hapo kwenye bold HB unazidi kunichanganya, wamerudishiwa sh.3 hivyo wamelipa 72 na sio 73 kama unavyosema labda kuna maelezo zaidi ya kimahesabu!
 
Mtoa mada alete majibu ya maswali hayo au kwakuwa ipo kwa jokes ndo mana hakuna kumalizia??:confused:
Nililitoa ili niweze kupata jibu mimi sio mzuri sana katika anga hizi za hesabu, nashukuru kwa wote mliochangia nazidi kupata elimu zaidi ya hesabu!
 
Mafumbo haya kuharibiana mood, mplekeeni yule mzee wa kirusi, ukwey walitoa sh75 yaani 25 each, walivyorudishiwa sh 5 maana yake walichajiwa 70/3 anbayo ni sh 23.33333 wakaja pewa sh 1 kila moja so inakua ni sh 24.33333 maana hata sh 2 aliyochikichia mhudumu waliilipia wao
 
Sijakuelewa.
 
AHAHAHAHA...jamani michezo ya hesabu na namba wapelekeeni WARUSI..fullstop...HAPA TANZANIA TUACHIWE MAJUNGU NA UFISADI NA AHADI ZISIZOTEKELEZEKA
 
AHAHAHAHA...jamani michezo ya hesabu na namba wapelekeeni WARUSI..fullstop...HAPA TANZANIA TUACHIWE MAJUNGU NA UFISADI NA AHADI ZISIZOTEKELEZEKA
Kweli kabisa Hesabu na namba ni ugonjwa wa kitaifa, waulize wanafunze watakueleza.
 
walitoa 75. ikarudi 5.

caunta ilibaki sh 70.
muhudumu kabaki na sh 2.
wakarudishiwa sh 3.
muhudumu aliwachaji sh72 ( pamoja na aliyosunda )
wao walipewa sh 3
hapa unajumlish sh 72 + sh 3 na siyo sh 2. kwasababu sh 2 imeshajumlishwa ndo tukapata 72.
 
Let me honest...when it comes to Maths...i always get goose bumps, i think am kind of allergic when it comes to Hisabati!!!
 
Let me honest...when it comes to Maths...i always get goose bumps, i think am kind of allergic when it comes to Hisabati!!!
Pole mkuu huu ni ugonjwa wa kitaifa si wewe tu tupo wengi.
 
Hesabu huwa ni msosi wangu, hata kids zangu nao wanameza kama maji! Nilimpa kid langu la std 2 likatema jibu utadahani linalia vile........oooh kumbe ni wtz wachache tunavinjari eneo hilo bila shida!
 
Hesabu huwa ni msosi wangu, hata kids zangu nao wanameza kama maji! Nilimpa kid langu la std 2 likatema jibu utadahani linalia vile........oooh kumbe ni wtz wachache tunavinjari eneo hilo bila shida!
Lete basi majibu ya huyo mwanao.
 
Simple Arthmetic walitumia sh 70 tu..... na walirudohiwa sh 3 na muhudumu aliminya sh 2 jumla inarudi sh 75.......makofi hapo tafadhali jamani hesabu si za kukimbiwa hata kidogo
 
Nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"
Inataka kuwa kama hisabati za sheikh Yahya vile !
 
Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....

At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?
with two people there is one handshake. kwa hiyo kwa watu watatu there are three handshakes ivyo ivyo kwa watu wanne there six handshakes. in general with n-1 people. the number of handshakes is the sum of the first n consecutive number; 1+2+3........-n since this sum is n(n-1)/2 we need to solve the equation n(n-1)/2=? if n=10 then 10(10-1)/2= 45
 
why do they call me this name? MAHESABU...? /MATHEMATICIAN....? some went as far as calling me JUJUMAN a.k.a KIPANGALA....!
because.......
 
why do they call me this name? MAHESABU...? /MATHEMATICIAN....? some went as far as calling me JUJUMAN a.k.a KIPANGALA....!
because.......
Unamikwala wewe ni sawa na Jogoo anaewahi kuamka kwa kupiga kelele wakati kufungua mlango atoke nje hawezi..ngoja nikutafutie moja la hadhi yako ukipata..ntakuzawadia Backhouse
 
Da huyo mwanao ataikumbuka hesabu hiyo uliyo mwambia ni ya chuo kikuu.
Na kifika darasa la nne atakutana nayo, sijui utaficha wapi sura yako?
nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom