Hesabu hii imekaaje?

ebu mahesabu jarbu hii ya ukweli ukweli
Grandpa:
"My grandson is about as many days as my son is weeks,
And my grandson is as many months as I am in years.
My grandson, my son and I together are 120 years.
Can you tell me my age in years...?"

..Kama lugha itakuwa inasumbua sema nitafute mkalimani ili swali lijibiwe kibantu zaidi
hizo underlines ni kama keywords kwenye kushuka swali
 
It is vely thimpo kweshen.

Here it comes
= 0 + 1 + 2 + 3 + 4 + 5 + 6 + 7 + 8 + 9

Meaning the
first person shook no body = 0
second person shook with one person = 1
third person shook with two person = 2
fourth person shook with three person = 3
fifth person shook with four person = 4
sixth person shook with five person = 5
seventh person shook with six person = 6
eighth person shook with seven person = 7
ninth person shook with eight person = 8
and the tenth shook with nine = 9
so the total hand shakes = 0 + 1 + 2 + 3 + 4 + 5 + 6 + 7 + 8 + 9 = 45

Mazee umeambiwa watu kumi wame shake hands wote, hakuna ambaye haja shake hands ya mwingine yeyote, kwa hiyo hakuna habari ya "the first person shook nobody".

Hii ni mathematical construct ya kuondoa double counting tu.

Your logic is correct and the answer is 45
 
ebu mahesabu jarbu hii ya ukweli ukweli
Grandpa:
"My grandson is about as many days as my son is weeks,
And my grandson is as many months as I am in years.
My grandson, my son and I together are 120 years.
Can you tell me my age in years...?"

..Kama lugha itakuwa inasumbua sema nitafute mkalimani ili swali lijibiwe kibantu zaidi
hizo underlines ni kama keywords kwenye kushuka swali

Stating this mathematically let us initialize by defining

Grandson = G, Son = S and I = I

Week = w, Month = m and Year = y

In the language of functions this can be stated as

d (G) = w (S)

m (G) = y (I)

y (G) + y (S) + y (I) = 120

For this question to make a challenging sense you must define how many days are there in a month (or alternatively give your complete birthdates, you see some years have 365.25 days while some have 366 days), and if this grandson is the son of the son you are referring to here, and if that is the case, what is the minimum age that a person can have a child,.
 
Nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"

For food they didn't pay exactly sh. 23
They paid R70/3=sh.23.33333
Discount sh.1
Total sh.24.3333
multiply sh.24.333 by 3= sh.73 add sh.2=sh.75
 
Jamani, mimi naomba nisaidiwe kwanza hii hapa ilishanishinda, tukishamaliza tunafanya na hiyo ya huyo dogo.
1b0595f1a8083519321c2dbb4af3ef08.png
 
Ni kama super ligi tu, timu ziko kumi je raundi ya kwanza zitachezwa mechi ngapi? kweli mficha uchi hazai, baada ya mheshimiwa wa kwanza kueleza tatizo lake ndio na nyie mnaleta ya kwenu, mlikuwa wapi siku zote na matatizo yenu ya hesabu?? tuition zimejaa kila pembe msione aibu elimu haina mwisho!!!
H
 
haya masomo ya hisabati ndo sikuwahi kuyapenda kabisa maishani mwangu mote ilikuwa ni fimbo na mikwaruzano na walimu, duh mi hatasijiangaishi kukalculate
 
Jamani, mimi naomba nisaidiwe kwanza hii hapa ilishanishinda, tukishamaliza tunafanya na hiyo ya huyo dogo.
1b0595f1a8083519321c2dbb4af3ef08.png

Hii naona imekaa ki pure math kabisa..partial differentials na sijui inataka u solve vp(haija state) hapo.Ila ukijua hesabu inaraha kweli
 
Stating this mathematically let us initialize by defining

Grandson = G, Son = S and I = I

Week = w, Month = m and Year = y

In the language of functions this can be stated as

d (G) = w (S)

m (G) = y (I)

y (G) + y (S) + y (I) = 120

For this question to make a challenging sense you must define how many days are there in a month (or alternatively give your complete birthdates, you see some years have 365.25 days while some have 366 days), and if this grandson is the son of the son you are referring to here, and if that is the case, what is the minimum age that a person can have a child,.

Kiranga your flow is quite good lemme simplify some of the assumptions.
Assume kwamba there are 12 Months in a year;52weeks in a year and 365 days in a year.
And to simplify more take (assume) the minimum age for a man( son and Grandpa) to have child is 25yrs old.
Go on kiranga u almost done it!
 
haya masomo ya hisabati ndo sikuwahi kuyapenda kabisa maishani mwangu mote ilikuwa ni fimbo na mikwaruzano na walimu, duh mi hatasijiangaishi kukalculate
Teh teh teh! Kama mimi. Lakini nimegundua math haiepukiki, nimekuja kutana nazo tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom