Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,333
UONGO HUOMkuu ingekuwa inaruhisiwa ningekuambia jinsi Nccr mageuzi atakavyoshinda ubunge
Na jinsi Chadema watakavyoshindwa
Ila hii ni siri, ila mwenye chama mwenyewe Mbowe anajua baada ya October hana chake ndio maana ameamua kupora bilion nane
wanatumia nguvu kubwa kuua upinzani badala ya maendeleoUkweli mtupu. ccm wana hali mbaya sana kuwahi kutokea tangu 1954. Kuna mambo ya hovyo sana ccm yana lindwa kwa gharama zote ila kila kitu kitajulikana.
wait and seeOk tunashukuru kwa bandiko lako! Hakika Chadema mvuto wake ni A. Tuna subir kuipa nchi ila kipate wabunge na madiwani wengi hapo oktoba na ikiwezekana hata kwa nafasi ya Urais wa Tz!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ingekuwa inaruhisiwa ningekuambia jinsi Nccr mageuzi atakavyoshinda ubunge
Na jinsi Chadema watakavyoshindwa
Ila hii ni siri, ila mwenye chama mwenyewe Mbowe anajua baada ya October hana chake ndio maana ameamua kupora bilion nane
Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?Ok tunashukuru kwa bandiko lako! Hakika Chadema mvuto wake ni A. Tuna subir kuipa nchi ila kipate wabunge na madiwani wengi hapo oktoba na ikiwezekana hata kwa nafasi ya Urais wa Tz!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nccr mbunge mmoja tuu mbatia.. chadema wanaona mbali.. chadema wanaona 2025 , ma kwenda mbele.. chadema ndio itawapeleka mahakamani maharamia wote wanaupuuza wananchi.
Unasemaje umeshinda uchaguzi kwa kutumia bunduki.. kwa bunduki unaweza chukua kura zote..
Mwandishi anasema uhalisia on the ground..
Ccm haina ushawishi.
Mi nakataa mkuu NCCR haina ushawishi at all hata wafanye nn Yani kukubalika eti kuizid CHADEMA haipo aiseee...Sina chama ila hilo halitowezekanaMkuu ingekuwa inaruhisiwa ningekuambia jinsi Nccr mageuzi atakavyoshinda ubunge
Na jinsi Chadema watakavyoshindwa
Ila hii ni siri, ila mwenye chama mwenyewe Mbowe anajua baada ya October hana chake ndio maana ameamua kupora bilion nane
Yan bila kumumunya maneno bila CHADEMA hii nchi ingekua na uonevu mbaya sana......viva chadema viva kamanda mbowe endeleen kutupgania wanyonge na tusio na saut au pa kusemeaJe CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?
Kuna watu wengi sana sijui hawamjui Mbowe vizuri au uchanga wa kuanza kushabikia siasa now. Mwaka 2015 Chadema ilimtimua Zitto na 2015 Novemba Kura za chadema ziliongezeka maradufu...kupata 6millions vote za Urais si haba km Hata Magu tu alipata 8Millions. Yaani leo chama ambacho mlifuta wagombea wake wa serikali za mitaa..mkanunua wabunge wake wengi na kuwapa ubunge bila ridhaa ya wananchi. Mnadhani wananchi hawajui hayo..yaani mnadhani propaganda za kina lijuakali zinaweza kumteteresha Mbowe..Bado hamjafikiria vizuri.
Ipo hivi. Mbowe na CHADEMA wapo vizuri sana. Najua now mashambulizi mengi ni kwa Mbowe kwakuwa ndiyo mwenye ushawishi now kwenye siasa za Tanzania. Km mbowe kaiba pesa mbn hampeleki Mahakamani.
Hizo michango zimeanza lini...yaani mnaona uchaguzi ndiyo mnaleta mambo hayo..Mmeshindwa kuderiver kwa wananchi mnaanza kuvibomoa vyama vya upinzani. Yaani mnaona nchi km yenu hii.
kama kuna mtu anadhani huu ndiyo mwisho mbowe mwambie aote Moto tu Mbowe is here to stay... tena waambie wakoke moto kabsa..
Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?
Simple calculation haziwabebi Mbatia wala ZITO.. WANANCHI wanawajua.. ngoja uchaguzi ufike ndiyo mtaona nguvu ya chadema. Hizi propaganda zilikuwepo tu..
Mbowe ni political mafia..kimsingi hamuwezi...Mkitata kuondoa chadema labda muifuite.
NCCR MVUTO F
ACT MVUTO D
CHADEMA MVUTO NI A
CCM MVUTO NI C
Good to go
Mbowe is here to stay
Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?
Kweli kabsaYan bila kumumunya maneno bila CHADEMA hii nchi ingekua na uonevu mbaya sana......viva chadema viva kamanda mbowe endeleen kutupgania wanyonge na tusio na saut au pa kusemea
Its not over until its over...