Ikitokea kuandika kwa pamoja je? au tuivunje, tuchonge pande zote mbili?Poa, halaf usnunue penseli nitakuazima hii ya kwangu ukihitajia, usisahau kichongeo, nimeona bora kushea ili kubana matumizi.
viza kakupa nani?Napita tu.
viza kakupa nani?
Dah! hu mtihani sasa. Khaaa!Ikitokea kuandika kwa pamoja je? au tuivunje, tuchonge pande zote mbili?
umenipa wewe kidonge kitamu.
Deskmate, vipi tena? Please ni-introduce...umenipa wewe kidonge kitamu.
Bila ya rushwa?
Ni shemeji yangu, ana kautani utani sana.Deskmate, vipi tena? Please ni-introduce...
mi na wewe tupeana kwa rushwa toka lini?
Ok. Umesha mwambia mimi ni deskmate wako (ila hatujui tutaendelea vipi)?Ni shemeji yangu, ana kautani utani sana.
Dalili zinaonyesha kuwa leo utalala stoo ya mkaa... Endelea.I beleive in sapraizis, nikajua utanisapraiz leo lol
Ina maana yule mzembe hashycool ndo umem rule out kabisa katika hili gemu?
Ok. Umesha mwambia mimi ni deskmate wako (ila hatujui tutaendelea vipi)?
Napita tu.
Khaaa! sweetlady unatoka nje ya mada, sheria za JF haziruhusu ofutopikDalili zinaonyesha kuwa leo utalala stoo ya mkaa... Endelea.
Deskmate vipi tena unatishiwa kulazwa stoo ya mkaa? Mbona sielewi elewi? Tukutane shule bwana, naona hapa kuna kamsongamano fulani...:bump2:Dalili zinaonyesha kuwa leo utalala stoo ya mkaa... Endelea.
umenipa wewe kidonge kitamu.
Dalili zinaonyesha kuwa leo utalala stoo ya mkaa... Endelea.
Dah! hapo mbele ungeweka R.I.P ili kuonesha ubinadamu kidogoakafie mbele yule