He's my everything

Mbona hujanipigia kama kweli ulinimiss?... Mie nilikuona kwenye jukwaa lako nkashindwa kukusalim, si wajua kule kuchakachua ni marufuku?
Mchina wangu ulikuwa unanisumbua..imebidi nimpe fundi AshaDii anirekebishie..sasa hivi ndio nimerudi hewani! Kule unachomekea tu halafu unakimbia! Mwambie babu Asprin akupe maujanja ya kule kama tayari umeshayashau.
 
Basi nitakua nakusaidia na mimi. Ila kwa sasa vile hatujaanza shule rasmi sijaanza kutumia kichongeo changu...
Lol... Mwali umepinda!.....somo akikukuta umekwisha walah tena!

Basi ntakuwa namchongea alfajiri afu jioni zamu yako...uwe unamchongea vizuri kama mimi!
 
Asante. Huo ndio undugu... Love is sharing... :busu
 
Mchina wangu ulikuwa unanisumbua..imebidi nimpe fundi AshaDii anirekebishie..sasa hivi ndio nimerudi hewani! Kule unachomekea tu halafu unakimbia! Mwambie babu Asprin akupe maujanja ya kule kama tayari umeshayashau.
Ndio mana kumbe wiki hii sijakuona sana, nkajua ndio ushakimbia x'mass...

Uko poa lakini?
 
Mi nipo poa kabisa..kukimbia baado kabisa! Nasubiri kwanza foleni ya ile barabara yetu ipungue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…