He's my everything

hehehe deskmate ana ka aibu aibu kidogo tunasubiria ka basi ambako hakana abiria wengi tuwahi shule.
kodi usafiri nadhani mtawahi mapema mana mda unaenda mno halafu mtakuwa deskmate tena kama mlivyokuwa darasani
 
Hahaha! Namchongeaga kila siku asubuhi na jioni akirudi shule... Hajanambia bado...
Basi nitakua nakusaidia na mimi. Ila kwa sasa vile hatujaanza shule rasmi sijaanza kutumia kichongeo changu...
 
Halafu SL nimekumiss sana! Nimekuwaza leo the whole day!!!
Mbona hujanipigia kama kweli ulinimiss?... Mie nilikuona kwenye jukwaa lako nkashindwa kukusalim, si wajua kule kuchakachua ni marufuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…