He's my everything

Kabakabana, naona mapenzi yako yamelalia mno uzunguni. Je ulishawahi kumsoma Okot p'Bitek katika mashairi yake ya 'Song of Lawino'? Hapo ndo utajua kama sisi ni kila kitu kwenu.
 
Deskmate vipi tena unatishiwa kulazwa stoo ya mkaa? Mbona sielewi elewi? Tukutane shule bwana, naona hapa kuna kamsongamano fulani...:bump2:
Dah! deskmate bana! baadae tuonane sehem sehem basi tumalizie ile homework
 
Hebu mwambie wewe swahiba, hajui nnavyopiga eeh? Amuulize mamkwe wako King'asti..

hehehehe! Swahiba huyu lazma tumvutie msuba(tena mamkwe ndo supplier). Kama huna pensi sema nikuazime. Filimbi ikilia tunaanza timbwili.
 
Kabakabana, naona mapenzi yako yamelalia mno uzunguni. Je ulishawahi kumsoma Okot p'Bitek katika mashairi yake ya 'Song of Lawino'? Hapo ndo utajua kama sisi ni kila kitu kwenu.

mimi ni noma,try me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…