Hertz fires 25 Muslim drivers in break dispute | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hertz fires 25 Muslim drivers in break dispute

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Oct 21, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  SEATTLE (AP) - Hertz is firing 25 Somali Muslim drivers atSeattle-Tacoma International Airport who have refused to agree to clock out for daily breaks during which they normally pray.

  The workers drive the company's rental cars to and from the airport for cleaning and refueling. They are among 34 Hertz employees suspended Sept. 30 for failing to clock out before breaks.

  The Seattle Times reports that Hertz says nine of the 34 signed the agreement and have returned to their jobs.

  Hertz spokesman Rich Broome says the company made it clear the workers needed to agree to the clock-out conditions by the end of the day Thursday if they wanted to be reinstated. The newspaper says termination letters have been sent to the 25.

  The company has said some workers were taking longer than the 10 minutes allowed.
  Observant Muslims pray several times a day.
  ___
  Information from: The Seattle Times, The Seattle Times | Seattle Times Newspaper
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  Mhh vita dhidi ya uislam ni kubwa!kila gazeti taarifa ya habari haikosi kuzungumzia uislam na waislam
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mimi sioni hii kuwa ni vita dhidi ya Uislamu. It is all about business and the bottom line. Nimewahi kufanya kazi katika viwanda vya Marekani. Hawakupi ten minutes break for anything.
   
 4. z

  zwlt917 Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sioni hii kuwa ni vita dhidi ya Uislamu. It is all about business and the bottom line. Nimewahi kufanya kazi katika viwanda vya Marekani. Hawakupi ten minutes break for anything.
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  KWa hiyo wao walitaka walipwe wakati hawafanyi kazi?
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wewe kama ufanyi production unataka ulipwe...; its all about kufata rules and regulations za sehemu husika hutaki tafuta kazi sehemu nyingine..

  Wewe unalipwa for 8 hours a day na breaks ushapewa unataka uongezee break zako mwenyewe.... !! ??;
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watahangaika sana na uislam na waislam hawatashind period

  Huwezi kuacha kusali eti kisa man made rules..
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu tatizo sio kusali tatizo ni kuondoka during work hours bila ku-clock out...; kwahiyo kama wewe unaona tabu nenda kaombe kazi pengine au msikitini au kanisani ambapo watakuruhusu kuchukua breaks kila unapota.., kila sehemu kuna sheria zake ambazo inapaswa uzifate hutaki ondoka
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndiyo hizo sheria zenu lazima ziwe flexible na time zetu za kusali period..

  Hayo ya kuweka man made rules mbele na kwa wakristo ni possible si kwa muslim

  Hawatawezi..mimi nafanya kazi ulaya na they give my time to pray as usual..

  Nimewaambia nakuja jumapili siku ambyo wengi hawataki they are happy..

  Hao jamaa ni udini unawasumbua lakini they will not win at all..wana popularize islam zaidi
   
 10. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Sisi wabantu bana tumezoea Mitelemko sana, sasa wewe hutaki ku-clock out ina maana unataka ulipwe bure~ndio maana tunaendelea kupiga kwata wakati wenzetu wanaruka na drones!.
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu sasa shida ipo wapi watafute sehemu ambapo wewe ulipata ili waongee nao waone kama itakubalika tatizo sio kusali tatizo wamesema hapo juu hakuna breaks zaidi ya 10minutes bila clocking out period sasa waache kazi na kutafuta pengine au waombe kufanya kazi usiku na masaa ambayo hawawezi kusali viwanda vya wenzetu ni 24 hours na Jumapili na Jumamosi kwao ni resting day ukifanya kazi that is overtime (kulingana na mlivyopatana kwenye contract..)

  Kwahiyo mkuu when in Rome live like Romans..., hutaki anzisha kiwanda chako
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  China sijui India sku izi imekuwa ulaya?
  Na tangu lini uanafunzi ni kazi?
  Teh teh teh
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu dunia haiwezi kurahisi hivyo wewe unaongea kwakuwa huyu jamaa ni muislam na una chuki zako binafsi..

  Ukijenga kiwanda kwa dunia ya sasa tegemea kupata wafanyakazi wa imani mbalimbali na uangalie namna bora ya kutreat imani za watu..it doesn't make your company weak rather profitable (kwa accomodate skills mbalimbai)

  Sasa wewe unavyota outright rule napata taabu sana ku-argue na watu wenye chuki kama wewe..

  Sisi tunaamini lazima usali whetever it takes "so we cant be like romans no" we want to be muslims period

  Eti kama hutaki anzisha kiwanda chako wewe ndio chizzi kweli ..

  Punguza chuki mkuu kila mtu ana haki ya kuheshimiwa anachokiamini period..na lazima afanye kazi pia..
   
 14. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Na sio business bottom line tu, hata ingekuwa ni wafanyakazi wa community clinic inayotibu kwa charity, ukisha saini mkataba wa kazi unaokutaka uweko kazini masaa x, break ya dakika Y, u clock out at time T, that's it, huwezi kukumbuka dini katikati ya mkataba wa kazi halafu suddenly ukasema unataka ulipwe kwa kusali. Mwajiri atakwambia hukuja kusali hapa, umekuja kufanya kazi.

  You need to pray five times a day take a day off, for heaven's sake! Ikiwa utamaduni wa mazingira hayo ya kazi hayakufai rudi kwenu, Al Shabab wanaruhusu kusali kazini 400 times a day if you want.
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Punguza chuki mkuu utakufa bure

  Unaongea utafikiri hizo nchi hazina waislam wazalendo? (born in UK or US)???

  Kuna wazalendo kibao je warudi kwao wapi? lazima viwanda viangalie namna bora ya kuishi na watu wenye imani tofauti
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu jaribu kufikiri out of the Box mimi sina chuki wala siangalii mtu sababu ya imani yake au character yake.., kama ni kufanya kazi na ninataka mtu wa kuendesha gari masaa nane within a given time sitajali huyo mtu anafanya nini kama gari litaendeshwa na hata kama akiwa Dalai Lama au Papa mwenyewe itabidi ajibu kama gari halitaendeshwa...

  Mkuu ndio maana kazi ni nyingi na mtu unachagua kulingana na imani yako huwezi kwenda kuomba kazi bar alafu ukawaambia sababu mimi imani yangu haitaki pombe basi muanze kuuza soda peke yake ili kuni-accomodate na mimi.., it does not work like that bro.., ndio maana nikasema when in Rome..., kampuni asitafuti wafanyakazi ili waende pale kuhubiri dini kwahiyo any personal thing should be done in personal time and not companies time..., kuna kazi za kutangaza dini hizi nadhani unaweza ukalipwa kwa kusali 24/7
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Toa suggestion wafanye nini kama hicho ni kiwanda ambacho kinahitaji madereva within a given time wafanye timely delivery.., dereva anaitwa ili apeleke mzigo sehemu fulani ku-meet deadline.., unapewa jibu hayupo (hivi wewe unaona hii ina-make sense, and it does not matter anachokifanya huko kama ni kusali au kupiga usingizi...) A driver should drive period... hayo mengine atafanya in his own time
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,209
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na yote uliyoyaandika Mkuu, lakini kuna wengine watang'ang'ania kwamba ni vita dhidi ya Waislamu, kitu ambacho hakina ukweli wowote. Muajiri anataka ufanye kazi masaa manane kwa siku na siyo masaa saba na nusu au saba na robo, ukiingiza sheria zako ambazo mwajiri wako hakubaliani nazo basi itakula kwako. Nidhamu ya kazi ni muhimu katika kulinda ajira yako.
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tatizo hapa BAK ni kuwa kuna watu wanapenda kupinga kwa kupinga tu. Ikiwa mtaangalia kwa nini wamesimamishwa kazi, si kwa sababu ya dini bali kutokubaliana na masharti ya kazi. Kwa nini wengine wamekubalina na masharti? Hawa walokataa ni waislamu zaidi? Dini ya Kiislamu iko flexible, iweje mtu aruhusiwe kusali akiwa vitani ndani ya mbio, huyu anayeendesha gari asiweze kusali wakati anaendesha gari. Hakuna ulazima wa kuwa uende msikitini, popote unaweza kusali ikiwa umo katika amali ya halali. Kwani sala ni nini? Ninavyoelewa kwa muumini ni mawasiliano yake na muumba wake bila kujali pahali
   
Loading...