Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,049
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee
 
Atapotea kama wenzie kwanza ameonyesha zarau sana ataondoka na mkewe josephine habebi mtu yyte chadema ni ya wananchi sio yake
 
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee

Laana utapata wewe unayemtukana asiyekutukana. Leo unaona Slaa msaliti kwa sababu ya Lowassa aliyevamia chadema? Kati Mbowe na Slaa nani kamsaliti mwenzie?
Kweli ujinga ni mtaji wa wenye hela.
 
Tulieni dozi iwapate vizuri... sio wote wenye tabia za Kinyumbu!
 
Dhambi ya kukaribisha lifisadi imeanza kuwatafuna mapema namna hii? Hata huyu Padri aliyejitolea maisha yake yote kukitumikia chama na kukifikisha hapa kilipo naye mmeanza kumpiga jaramba?

Chonde chonde jamani. Kuna mamilioni ya watu ambao kwa mara ya kwanza wanategemea "ukombozi" kutoka kwenu japo kwa sasa wako disillusioned na hawana uhakika kama Lowassa ndiye mkombozi waliyekuwa wakimsubiri. Angalieni basi msiwaangushe. Please!
 
Laana utapata wewe unayemtukana asiyekutukana. Leo unaona Slaa msaliti kwa sababu ya Lowassa aliyevamia chadema? Kati Mbowe na Slaa nani kamsaliti mwenzie?
Kweli ujinga ni mtaji wa wenye hela.

Hujielewi wewe
 
Dhambi ya kukaribisha lifisadi imeanza kuwatafuna mapema namna hii? Hata huyu Padri aliyejitolea maisha yake yote kukitumikia chama na kukifikisha hapa kilipo naye mmeanza kumpiga jaramba?

Chonde chonde jamani. Kuna mamilioni ya watu ambao kwa mara ya kwanza wanategemea "ukombozi" kutoka kwenu japo kwa sasa wako disillusioned na hawana uhakika kama Lowassa ndiye mkombozi waliyekuwa wakimsubiri. Angalieni basi msiwaangushe. Please!

Ukombozi bado huko pale pale
 
Kuna watu hawajui siasa ni nini. Siasa ni madaraka, hivyo ni ruksa kutumia njia chafu kuyafikia. Once umeyafikia, ndiyo sasa unaweza kuwa binadamu.
Kama CDM inaamini ni Lowassa tu ndiye atakayewafikisha huko, naona wako sawa kabisa. Tatizo ni ikiwa kama Slaa pia angeweza kuwafikisha?!
Jadilini hilo.
 
Dr.Slaa bana unadhani kukaa kimya ndio jibu! kwa nini ukubali lowasa kupokelewa!? umekaa umeuchuna tu sisi wafuasi wako tukutafsirije!?
 
Mkuu Shardcole ni wewe ndio umebandika hili bandiko hapa au account yako imekuwa hacked?

Mbona ulichoandika hapa hakilingani kabisa na weledi wako tuliouzoea hapa jamvini?

Mkuu kubali ukatae,Dr Slaa ndio amekuwa influence kubwa sana kwa watu wengi kupenda siasa za upinzani.Dr Slaa (na Zitto) ndio wamekuwa watu wa kwanza kwanza kuwafanya vijana wengi wapende siasa ya CDM

Siungi mkono Dr kujitoa CDM lakini ujue Slaa yuko moyoni kabisa mwa watanzania

Nimesikitika sana na aina ya lugha uliyotumia hapo,
 
Last edited by a moderator:
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee
Beware of false knowledge; it is more dangerous than ignorance-George Bernard Shaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom