Heri ya mwaka mpya Tundu Lissu 2018

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,434
5,535
Mh Tundu A Lisu nakutakia Heri ya Mwaka Mpya 2018 Mungu amekupigania watanzania tunakuombea

Hakuna mtanzania asiyejua kazi kubwa na iliyotukuka uliyofanya katika ujenzi na ustawi wa Taifa letu

Naamini wapo mamilioni ya watanzania wataungana na mimi kukutakia afya njema na maisha marefu

Kwangu umekuwa chaguo pekee kukutakia heri ya mwaka mpya nimekupa Nobel toka moyoni mwangu
 
Wako wengine huku wanatulazimisha tuwasifu na kumpenda lakin upendo huo hautoki moyoni. Kutoka sakafu wa moyo wangu heri ya mwaka mpya Mh. na kiongozi wetu TUNDU LISU. Long life hon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom