halafu why siku za sikukuu wanawake na watoto hawana tofauti?

lazima utoke??????

talk about mitandao ya ngono....mpaka binamu yako ndani..lol
halafu why siku za sikukuu wanawake na watoto hawana tofauti?
lazima utoke??????
huna maana
hii dunia tunapita wewe kila siku tunatafuta kuna siku za mapumziko hela wala haijai unaelekea wewe ni mchoyo hata kwa nafsi yako acha kula upate maendeleo basi tuoneboss you're absolutely right . Iila inategemea ni aina gani ya mwanamke kwani wanawake watafutaji na wenye kuweka malengo ya maendeleo ya familia yao mbele na wenye shughuli au project za uzalishaji siyo rahisi akumbuke kwenda out na huo msamiati wengi hawana. Kizazi cha outing ni hawa wadada wanaojidai kuishi kizungu na hata kama amesoma akitoka kazini hupenda kuoga na kukaa kwenye kochi na kumpelekesha binti wa kazi huku akibadilisha channeli za tv kutafuta miziki ya bongo fleva na mipasho na akitoka hapo atatafuta wauza urembo wampake rangi kucha.
Wanawake wa namna hii huwa nawaita liability kwani wanawaza tu kutumia na si kutafuta njia ya kuongeza kipato na matokeo yake kama mume ana msimamo tofauti naye basi hutafuta wanaume wanaokubaliana naye na mara nyingi huishia kugawa ndoa nje .
hata mimi nawashangaa mtu ukisema kutoka akili ziko kitandani watu wanafikiria kusex ndo maana hii nchi haiendelei jamanihivi kutoka inamaanisha ngono? Hawezi kutoka na whoever bila kuishia huko?
Mtoa mada,hebu ni-pm tukale zetu maisha! Kuna watu wanapenda mteremko kweli,it is disgusting

roho inaniuma lakini......kweli kabisa heri mme wa mtu, mbona uke wenza unaruhusiwa tatizo ni nini ?

haya whatever cousin mvulana au msichana shughuli ipo
From Temeke to Ilala.
In 31-08-2011
Out 01-09-2011
Booked 25-08-2011
Paid 25-08-2011

kuna ubaya gani kutoka na cousin yako? Istoshe cousin aweza kua msichana au mvulana.
umeamua kumtetea pacha wakosio?

kuna ubaya gani kutoka na cousin yako? Istoshe cousin aweza kua msichana au mvulana.
Nakubaliana na wewe Angalia marafiki waliokuzungukaThese days ni hela mbele ndo maana maisha ya sikuizi hamna urafiki wa ukweli. Ukiona mtu yuko benet na wewe lazma anafaidika in one way or another, sio bure. Urafiki wa ukweli umebaki kwa asilimia chache sana sikuizi. Inatia huzuni sana. Neno hela limetawala kila kitu mpaka kwenye nyumba za kuabudu.