Heri aliyoipenda Mungu - Lowasa For President

Heri aliyoipenda Mungu - Lowasa For President

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Ni heri kubwa sana na kila alie Ukawa ni vyema kuifurahia sababu ule mvutano uliokuwa unanyemelea UKAWA umetoweka ghafla ,kila chama kilitaka mtu wake awe mgombea ,sasa kama hapo zamani wakitokea watu wakiwadai wagombea kuwa ni chaguo la mungu naona walikuwa wanatuburuza vibaya sana na wengine kupanda mkenge,

Ila nionavyo kama chaguo la Mungu basi Lowasa inawezekana kabisa kwani mzizi wa fitna umekatika,
 
Haya machaguo yenu ya Mungu ndio yanaoiweka hii nchi rehani huko China. hatutaki chagua la mungu tunahitaji chaguo letu. Machaguo yenu ya mungu hawawezi kuongoza, ni wahuni walarushwa, wezi na dhuluma zote wanazijua wao.
 
Lowassa ndiye Rais, Magufuli tutamtafutia kazi nyingine au atarudi kwenye kazi yake kwa kuteuliwa Ubunge.

Makufuli Tunavunja na pombe Tunamwaga.
 
Lowasa anazo sifa za uraisi magufuli anazo sifa za kutumwa kazi. Full stop
 
Mategemeo si kila siku yanatokea. Unaweza kupenda kitu kumbe kina shari kwako na unaweza ukachukiya kitu kumbe kina kheri kwako. Mungu ndiye anayejuwa na sisi hatujuwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom