heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Mke kasikia mumewe
ambaye alikuwa safari
akigonga mlango wa
nyumba yao afunguliwe,
naye alikuwa na bwana
mbaya zaidi walikuwa
wanaishi ghorofa ya kumi
na nne, mdada
mwasherati akamwambia
bwana waliekuwa nae,
aise mume wangu karudi,
hebu simama jifanye
robot, niachie mie
nizungumze; usitikise,
MKE: Karibu mume wangu.
Mume akaingia akakuta
mtu yuko uchi kasimama;
MUME: Huyu nani?
MKE: Hilo robot nilinunua
linanisaidia kujiliwaza
wakati wewe haupo.
MUME: Okay poa, sasa
mwenyewe nimerudi na
mimi nahamu sana na
wewe, nipe halali yangu
MKE:Samahani mume
wangu, niko siku mbaya
pole kwa leo. Ngoja
nikutengenezee
chai...wakati mke yuko
jikoni anatengeneza chai;
MUME: (Akawa anaongea
peke yake) Dah mke wangu
hawezi na mimi nataka,
ngoja nilishughulikie hili
robot la mke wangu......
jamaa mgoni kusikia vile
akajua hatari inakuja,
akaanza kuongea kwa sauti
ya kirobot;
ROBOT: Robot bovu
halifai, robot bovu halifai
MUME: Duh mi ninahamu
hata robot nalo bovu,
upumbafu sasa silinajaza
tu nafasi humu? kama
bovu ngoja nilitupe
nje....Jamaa Robot akajua
kifo kinakuja, gorofa ya
kumi na nne mchezo?
akaona ajisevu; heri aibu
kuliko kifo
ROBOT: Robot limepona,
robot limepona halina
matatizo, halina matatizo
ambaye alikuwa safari
akigonga mlango wa
nyumba yao afunguliwe,
naye alikuwa na bwana
mbaya zaidi walikuwa
wanaishi ghorofa ya kumi
na nne, mdada
mwasherati akamwambia
bwana waliekuwa nae,
aise mume wangu karudi,
hebu simama jifanye
robot, niachie mie
nizungumze; usitikise,
MKE: Karibu mume wangu.
Mume akaingia akakuta
mtu yuko uchi kasimama;
MUME: Huyu nani?
MKE: Hilo robot nilinunua
linanisaidia kujiliwaza
wakati wewe haupo.
MUME: Okay poa, sasa
mwenyewe nimerudi na
mimi nahamu sana na
wewe, nipe halali yangu
MKE:Samahani mume
wangu, niko siku mbaya
pole kwa leo. Ngoja
nikutengenezee
chai...wakati mke yuko
jikoni anatengeneza chai;
MUME: (Akawa anaongea
peke yake) Dah mke wangu
hawezi na mimi nataka,
ngoja nilishughulikie hili
robot la mke wangu......
jamaa mgoni kusikia vile
akajua hatari inakuja,
akaanza kuongea kwa sauti
ya kirobot;
ROBOT: Robot bovu
halifai, robot bovu halifai
MUME: Duh mi ninahamu
hata robot nalo bovu,
upumbafu sasa silinajaza
tu nafasi humu? kama
bovu ngoja nilitupe
nje....Jamaa Robot akajua
kifo kinakuja, gorofa ya
kumi na nne mchezo?
akaona ajisevu; heri aibu
kuliko kifo
ROBOT: Robot limepona,
robot limepona halina
matatizo, halina matatizo