mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
na huwa nakasirika hadi natetemeka pale wanaposuka NYWELE!!!!!(kichwani)
Asha D sijui yuko wapi! Na huyu Sharo-something ndo alikuwa matched nae...
ni hapo siku mamaa unapigilia kiwalo ukiangalia matching earings na hair band mr kasepa nazo!inabidi kila mtu awe na dressing table yake!
Kuvaa hereni ilianzia kwenye jeshi la Marekani,wale wanaume waliokuwa wanatoa "tigo"ndo walikuwa wanavaa hereni na vikuku!Kusuka nywele ni aina nyingine ya ukichaa,na anaefanya hivyo ana element za ushoga!
Mambo u mzima ? mi sipendi wanaume wanaovaa hereni,kusuka au wanaotembea chupi nje na mkanda kuuvalia chini ya makalio.watu wanaiga sana mambo bila kujua asili yake,heri umefafanua.
hata mi nahisi wana chembe chembe za ushoga hawa kaka zetu wenye kuvaa hivi vitu.
mwanaume anayevaa kihereni hata simuelewi,hakuna cha utamaduni wala nini,hereni za masai na wamangati zinaeleweka na zinakubalika lkn ni tofauti ni hizi wanazovaa makaka zetu wakimjini.
mbali na hereni,mwanaume anayevaa mipete mingi,anayesuka nywele,anayefuga afro,anayeweka wave,huwa simuelewi.
kuna wakaka wanapaka wanja kwa mbali na lipgloss,kuna mmoja sasa hivi ameoa aliniombaga rangi yangu ya kucha zile colorless zile zenye rangi kama ya maji zenye kungarisha kucha,nikampa nikidhani anatania duuh sikuamin jamaa ikajipaka kweli, nilishangaa.
wakaka mkizidisha ubitozi wakijiremba mkibashiwa msilalamike.
Hapo nakupata, sio siri element za kuchora 7 zipo, inakuaje mwanaume uvae hereni kama za dadaako, usuke nywele ka mamaako afu ujiite dume?
Tuachane na zile za asili kama za wamasai ambao huvaa hereni wakiwa ndani ya mavazi yao ya asili, sasa we haupo kwe asili afu umetoga masikio, nyusi, nk mfn Aliekuwa mtangazaji wa EATV Ben K. Sasa ile ni asili au ni nini?
Namtafuta siku nzima ya leo sijui kenda wapi uyu ananipa mawazo.....
mwanaume anayevaa kihereni hata simuelewi,hakuna cha utamaduni wala nini,hereni za masai na wamangati zinaeleweka na zinakubalika lkn ni tofauti ni hizi wanazovaa makaka zetu wakimjini.
mbali na hereni,mwanaume anayevaa mipete mingi,anayesuka nywele,anayefuga afro,anayeweka wave,huwa simuelewi.
kuna wakaka wanapaka wanja kwa mbali na lipgloss,kuna mmoja sasa hivi ameoa aliniombaga rangi yangu ya kucha zile colorless zile zenye rangi kama ya maji zenye kungarisha kucha,nikampa nikidhani anatania duuh sikuamin jamaa ikajipaka kweli, nilishangaa.
wakaka mkizidisha ubitozi wakijiremba mkibashiwa msilalamike.
Mambo u mzima ? mi sipendi wanaume wanaovaa hereni,kusuka au wanaotembea chupi nje na mkanda kuuvalia chini ya makalio.
Mi nafikiri nyie mabint ndo mnasababisha,wakiwatongoza hebu wakataeni inaweza kusaidia!
Mambo u mzima ? mi sipendi wanaume wanaovaa hereni,kusuka au wanaotembea chupi nje na mkanda kuuvalia chini ya makalio.
Yupo honeymoon,hukusikia harusi yake??
Hapari wapendwa!
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale
tumekuwa tukichangia hoja za hapa na pale, zaidi kuna uzi mmoja hivi tulikuwa tukiuchangia kuhusu suala la wanawake kuvaa wigi, kila mmoja ni shahidi jinc watu walivyochangia/kupinga.
Sasa leo naomba mchango wenu kuhusu suala la wanaume kuvaa hereni na kusuka kama wadada!
Hivi hii ni akili au upunguani?
Hii ndo kwenda na muda au ndo kuchanganyikiwa?
aiseee...wapi na lini mkuu?
Kama ingelikuwa ni kutoa maksi, basi mwanaume akivaa hereni au kasuka nywele, mimi nampa sifuri!
dah,,,hapo umeongea kama mwalimu kweli.....have missed you jamani Keren...hebu do ze nidiful kabla babu hajaamka kitandani....