Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,575
\\\Nfikiri umemuelewa alichokuwa akikilengaMnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Mnyika, anaulizwa kuhusu katiba anaongelea kuhusu Nyalali, nakwambia huyu kijana kidogo ana matatizo ya Kichwa.
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.