UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Afazali umesemaUsishabikie hayo mataifa mawili kupigana maana tutaumia wengi kama nyasi. Mrusi ana silaha, kwa waliowahi kuishi huko kama mimi, wanafahamu hilo maana huwa wana program za TV wanazoonyesha vifaa vyao, ni shida sana.
Jidanganyeni na hadithi za bibiliaRussia ni mbwembe tu wote Kwa Us wanatulia
Unajua us ni kama jeshi la dunia Waisirael ndio wamejaa kwenye jeshi lao!!
Mkorofi huyoo ooh achaYeah na Putin ndiye...huyu dogo wa N. Korea anakuja kuja ila ngoja tuone....hii dunia sii fair ikawa na bullers kama westerners.
Ha ha ha eti ata akija tz tunmpiga ha ha[emoji3] [emoji1] [emoji3]Marekani alitia pua VIETNAM akaambulia kichapo atia pua tena kwa wavaa ndala AFGHANISTAN WATALEBAN wakamtoa jasho mpaka basi akaenda korea na kwenyewe akakutana na kizingiti yaani kila anakotia pua lazima ashindwe anabaki kuuwa watu tu wasiokuwa na silaha yaani huyu marekani hata TZ tukiomba nae mechi ya kirafiki ateremshe majeshi yake ardhini tunampiga kama kuku wa mdondo
We we kada wao tuelezeeHamuwajui warusi vizuri nyie
Sema unatamani kuona watu wanakufaNatamani wabutuane
Hyo n jumuiya !! Na makubaliano yao huamui kitu bila wenzio kuafiki kama kuna nchi haziafki bas hawafanyi!! Lakin kuwaambia sio ndo kusema anaomba msaada Ila nisheria za NATOMarekani kila anapotaka kuvamia sehemu mpaka awaalike mashoga zake wa jumuiya ya NATO sasa hapo nani kidume RUSSIA yuko peke yake hawa wako nchi 28 wote wanahangaishwa na nchi moja tu
Mi ninachoona US wametawanya military bases tofauti ya RUSSIA
Najua unaipendaHehehehe hii ligi hii
Kwa hyo kwa kua mashoga hawawezi kuwatandika...EB waulize Libya,Afghanistan,Iraq,somalia,Syria wanajua mashoga wamewafanya nn!!Wanajeshi wa marekani hata tukiwapambanisha na jeshi la sungusungu la kule shinyanga hachomoi kwanza ni Mashoga