CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
Tuna miezi takriban miwili tu kufikia kwenye tukio kubwa na la muhimu kabisa ambalo wapenzi wengi iPhone huwa wanalisubiria kila mwaka, the release of a new iPhone! habari zilizovuja kwenye mtandao ni kwamba kampuni ya Apple ni kwamba kampuni iko jikon ikikamilisha mzigo wa iphone ambao una muonekano mpya kabisa, KIOO KIPANA! Pamojana kwamba watatoa design mbili ya kioo cha 4.7 na 5.5" lakini sijapenda the whole idea ya simu lenye kioo kama tablet, aaaargh. Anyway, wacha tusubiri tuone specs zaidi. Naendelea kuamini SJ alikuwa zaidi ya kichwa, iPhone and iOS sijawaza bado kuihama.

