Heradius Mushi acha kutapeli michango ya harusi

ww ndo mnafiki tena sijui umetoroka mombasa kwani umeshindwa mfata ukamwambia mpk ulete hio abari hapa au unafikiri hapa ni kijiwe cha kahawa au gazeti la udaku
 
Huyu bwana ni muajiriwa hapa wa Halmashauri ya wilaya kigoma, Tangu mwaka jana amekua akichangisha michango ya harusi kwa vijana mbalimbali akiwa anawaambia angeoa january, Sasa january 2017 ikafika na hakuna harusi yoyote, mpaka saivi tupo feb, watu kibao wamechangia lakin hakuna cha ndo wala nini, na bado anachangisha kwa uongo kwamba alisogeza tarehe na wengine wakumuuliza anasema alishafunga tayari harusi.
Ombi: Aache kuchangisha na kusumbua kuhusu michango wakat hakuna harusi. huo ni utapeli.
Safi sana wacha achangishe afanyie maendeleo maana watanzania harusi mnachangia lakini mtu akija na wazo la maendeleo au ana mgonjwa akiomba mchango hamtoi.
Mushi safi sana wakomeshe watanzania wapenda changia harusi na misiba wakati marehemu akiwa hosptal wakiombwa mchango hawatoi
 
Unankumbusha nyimbo ya Mr Ebo ! R.ip ...Anasema ...Alitaka kuoa tukamchangia pesa akafungua Duka ..TABIA MBAYA ...
 
Mimi nikimchangia mtu halafu akatuita kwake tukala ubwabwa kibua na sprite baridi akatuambia michango kakusudia kufanyia mambo mengine, sioni tatizo.
 
Jaman somo angu anakwiba pesa. Cc mbna hatunaga izo tabia akuu au wamsingzia
 
Back
Top Bottom