Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Kumbe happy birthday inaandikwa vile kwa kiswahili!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahah
nakutumia sasa hivi nauli
Kuna Wazee Ni Wahuni Sana..
Kuna Mzee hapa Kitaani Anatembea na Vibinti Vidogo.
Kuna Jamaa Leo Akamzingua "Mzee Jana Tulikuona Na Kibinti Maeneo Flani, Tuachie na Sisi""
Mzee Akamjibu "We Umeona Jana Tu, Ukuona Juzi Nilikua na Mama Yako ?...."