Henry Dafa Shekifu sasa Hivi ni "Dr Henry Dafa Shekifu"

Henry Dafa Shekifu sasa Hivi ni "Dr Henry Dafa Shekifu"

Huyu mtu ni mwizi hakuna mfano. Alishiriki sana katika kuyaua mashirika yetu ya umma kwa vile RTC na Sukita. Ni mnafiki, mchawi na mpenda madaraka. Ndiye aliyekuwa kampeni meneja wa jakaya 2005 na 2010 Tanga, Kilimanjaro na Arusha.

Nyerere alishawahi kumweka rumande kwa ajili ya ulanguzi.

mengi utayajua kupitia jf..tehe tehe.
 
Shekifu is among of wahuni wale wale kama kina kihiyo,kamala,mrema,jakaya,na nchimbi
 
kwani wamepata PHD za linguistic? By the way, ningependa kujua thesis yake ilihusu nini na hiyo PHD ni ya kutoka chuo gani, isije ikawa kama PHD ya Diallo ama ile ya Nchimbi na Kamala ambao walilazimika kusoma upya Mzumbe

Itakuwa ni ya kutoka kwa Makinda.
 
Kipimo ni uchapakazi hata kama Dr yake kaipatia HAVARD na kokote kule halafu hatuoni lolote jimboni. Nchi hii ni masikini sana kama unapata fursa ya kutembea mikoani na wilaya zake ndiyo unaweza kuona hali halisi.
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Henry
Middle Name: Daffa
Last Name: Shekifu
Member Type: Constituency Member
Constituent: Lushoto
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 209 Lushoto, Tanga
Office Phone: +255 784 620561/+255 713 620561
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: hshekifu@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 16 June 1946
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
California State Christian University Doctor of Philosophy in
Humanities - 2011 PHD
Califonia State Christian University, USA Management& Public Admin. 2006 2010 MASTERS
DEGREE
Nyegezi Social Training Centre, Mwanza Social Development 1970 1971 ADV
DIPLOMA
Research Institute for Management
Science, Delft-Holland Research Course 1978 1979 CERTIFICATE
Indian Institute of Management, India - 1980 1981 CERTIFICATE
Alliance Secondary School, Dodoma O-Level education 1966 1969 SECONDARY
Chambogo Primary School Primary Education 1958 1961 PRIMARY
Mbuzii Middle School Primary Education 1962 1965 PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
Government of Tanzania Regional Commissioner 2006 2010
The Parliament of Tanzania Member - Lushoto Constituency 2005 Todate
The Parliament of Tanzania Member - Lushoto Constituency 1995 2000
B.I.T (NTC) General Manager 1989 1995
B.I.T - RTC, Internal Business Council Regional Manager 1974 1988
SCULT Saving & Loans Officer 1972 1973
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of NEC 2006 2008
Chama Cha Mapinduzi - CCM Chairperson-Parents Association,
Tanga 1998 2008
 
Ujinga mtupu! Mijitu haijasoma chochote inashobokea tu kujiita Dokta
 
Back
Top Bottom