Wabara waliobaki CCM ni wale soft (Marojo tu)

Hao wazalendo unaodai wewe hawakudai katiba mpya kipindi Cha JPM,mkapa,kikwete,mwinyi na Nyerere wakiwa ndani ya chama na vyeo vyao!!

Imekuaje Leo wakati wa Samiah mzanzibari ndio wadai katiba mpya wakiwa ndani ya chama!!?

Tuwe wakweli watanganyika,ni wivu plus maumivu ya kile tunafanywa na mama akitumia katiba hii hii na sio kwamba wanataka mabadiliko!!
 
CCM maana yake chama cha Mapinduzi.

Suali langu bara wamepindua nini??. Au huu wizi wa uchaguzi ndio maana ya Mapinduzi?.
 
Hao ni wasaka tonge.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hao wazalendo unaodai wewe hawakudai katiba mpya kipindi Cha JPM,mkapa,kikwete,mwinyi na Nyerere wakiwa ndani ya chama na vyeo vyao!!

Imekuaje Leo wakati wa Samiah mzanzibari ndio wadai katiba mpya wakiwa ndani ya chama!!?

Tuwe wakweli watanganyika,ni wivu plus maumivu ya kile tunafanywa na mama akitumia katiba hii hii na sio kwamba wanataka mabadiliko!!
Na G55 walidai matako yako?
 
Imekuaje Leo wakati wa Samiah mzanzibari ndio wadai katiba mpya wakiwa ndani ya chama!!?

Tuwe wakweli watanganyika,ni wivu plus maumivu ya kile tunafanywa na mama akitumia katiba hii hii na sio kwamba wanataka mabadiliko!!
Tatizo sio Samia hapo kuna kundi la Kikwete na Kundi la Mkapa/Magufuli. Hakuna mzalendo kuna kundi À la wizi na kundi B la majambazi.

Sasa akiondoka mama wa Zanzibar hivyo vikundi ndio vinataka kushika hatamu. Hii kusema Mzanzibar ni danganya toto wanataka mama ampe kijiti mmoja wa kundi moja wao.
 
Hao wazalendo unaodai wewe hawakudai katiba mpya kipindi Cha JPM,mkapa,kikwete,mwinyi na Nyerere wakiwa ndani ya chama na vyeo vyao!!

Imekuaje Leo wakati wa Samiah mzanzibari ndio wadai katiba mpya wakiwa ndani ya chama!!?

Tuwe wakweli watanganyika,ni wivu plus maumivu ya kile tunafanywa na mama akitumia katiba hii hii na sio kwamba wanataka mabadiliko!!
Jizi na lipenda rushwa lingine. Hata akili za kufikilia halina. Linachojua ni kula rushwa tu na wizi
 
Hao wazalendo unaodai wewe hawakudai katiba mpya kipindi Cha JPM,mkapa,kikwete,mwinyi na Nyerere wakiwa ndani ya chama na vyeo vyao!!

Imekuaje Leo wakati wa Samiah mzanzibari ndio wadai katiba mpya wakiwa ndani ya chama!!?

Tuwe wakweli watanganyika,ni wivu plus maumivu ya kile tunafanywa na mama akitumia katiba hii hii na sio kwamba wanataka mabadiliko!!
Senge wewe ... unajiona uko salama ila subiri adhali za li katiba hili libovu zikupate ndiyo utajua .... au wewe ni mZanzibar wale waliwao mikundu
 
Kama kweli wewe ni Mzalendo utabaki vipi kwenye chama kama wewe ni Mbara kwa mazingira haya. Sasa ni CCM gani wa sasa kafanya zaidi ya Dr Nchimbi leo kafukuzwa kwa kukataa kuwa rojorojo.
Kataa WAHUNI.
 
Back
Top Bottom