hata mimi sijawahi kumuelewa kwakweli, simkubali popote kuanzia uimbaji,uigizaji hata uvaaji, na alivyonenepa ndio akawa kituko, afadhali hata yule hemedy wa tpf(aloshiriki mwanzo) alikuwa na mvuto, huyu wa sasa walaaa, tid pamoja na kutumia madawa bado hemedi hamfikii hata robo kwa kuimba.