Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,495
Star wa bongo movie na bongo fleva kutoka Bongo Hemed PHD a.k.a Fernando Papi ametamka wazi kuwa anapenda kutoka kimapenzi na mijimama kuliko wasichana wembamba.
Akizungumza na Enewz Hemedi alisema kuwa yeye hana chaguo la wanawake wembamba na alishajaribu kuwa nao lakini alishindwa na kuwataka aina hiyo ya wanawake kukaa mbali naye.
“Mimi sipendi mwanamke mwembamba napenda mwanamke ambaye amejaaliwa rehma zake na Allah, mwanamke ambaye amejazia na wala si mifupa ”, alisema Hemed.