Hemed PHD na mwanae (his son) melo....!!!

Naona unausemea moyo ila ukweli iyo mbengu nyeupe ni dili sana hapa mjini
Kwani nikuulize swali, mtu akiwa mweusi anakuwa ni binadamu asiye na hadhi kabisa machoni pa watu?!

Kama weupe ni rangi nzuri ya ngozi ina maana mtu anayezaliwa na ngozi nyeusi ni dosari au ulemavu?!

So wewe akija mwanamke/mwanamke mweusi akataka kuwana wewe utamkataa hata kama anavigezo vyote sipokuwa rangi tu?!

Nitakuwa nimekosea nikisema wewe ni muhanga wa masalia ya fikra za kizazi cha "colonial era" ambacho kinaamini mzungu ndie superior zaidi ya mwafrika especially mwenye ngozi nyeusi tiii......?!

Nitakuwa nakosea zaidi nikisema wewe unaishi in denial (haujikubali) kuwa kuwa mtu mweusi au mwafrika na therefore unavutiwa na rangi nyeupe zaidi, na mbaya zaidi unadhani hiyo ndiyo namna halisi ya muonekano wa binadamu anatakiwa awe aidha iwe kwa mkorogo au kwa kujipandikizia uzazi na watu wa rangi nyeupe?!

Aiseee, shame on you.......

You are such a disgrace and a disgust to the Black African community!

Wewe ndio zile sampuli za waafrika waliokuwa wanawageuka waafrika wenzao kwa wazungu aidha kwa kuwa snitch au hata kuchongea uongo tu mradi wajipendekeze kwa wazungu na kujisikia nao ni wazungu ile hali ndani ya damu zao wamebeba genes nyeusi kama mkaa.

Nimeona fedheha sana kusoma comments zako hapa na nimekuona for who you really are.......yes......you are an enemy to your own race......


Yaani unamuona mtu mweusi si kitu kisa rangi yake......utu unaupima na kipimo gani?!


Kukusaidia sasa ili uondokane na huo ujinga wa karne ambao wakina Martin Luther, akina Mandela na wengineo walikaa kila siku kuupinga ili wewe ukombolewe kifikra(nasikitika bado una kirusi cha kuibagua rangi ya asili ya jamii yako), hebu nenda hata kwenye youtube, search video ambazo zitakwambia juu ya African and black people pride........

Mimi nipo proud na rangi ya ngozi yangu na ninataka nipate demu mweusi ili tupate watoto weusi jamii yetu isipotee .....

Na umenitia hasira nakwenda kutafuta demu mweusi sasa hivi nampa ujauzito.


BE PROUD YOU IDIOT, BEING BLACK IS ABOUT NOT CRACKING.......BECAUSE BLACK DON'T CRACK....

SHEHEREKEA ASILI YAKO, HATOKUJA MUARABU AU MZUNGU AKWAMBIE UJIVUNIE ASILI YAKO, ILA UTAKAPOJIVUNIA ATAKUJA NA KUTAMANI KUWA KAMA WEWE ......JINGA KABISA......UMENIKERA WEWE NGURUWE UNAYEHUSUDU RANGI NYEUPE!
 
Niwe mweusi nipende mwanaume mweusi hihihihihihihi.......



Cc Smart911
Acha ujinga wewe.........kuwa mweusi imekupa dosari gani katika maisha yako.....

Cha zaidi nakuonea huruma kwa upotofu wa fikra uliobebelea katika likichwa ambalo unalilipia kila wiki pesa za salooni ila ndani limebeba mawazo ya kibaguzi
 
Back
Top Bottom