Hemed PHD na mwanae (his son) melo....!!!

Mbona baby mother amemficha?

Kwa uzuri huo aliokuwa nao Yeye Mwanaume unaweza ukakuta hata huyo Mtoto ( Baby ) hapo pichani alimbebea Mimba na kamzaa mwenyewe na labda Baba yake tukawa tunatiririka na kuserereka nae humu Jamvini 24/7.
 
Back
Top Bottom