HEMED KIVUYO wa ITV

HEMED KIVUYO wa ITV

DOgo mbona yuko poa tuuu... sijaajua tatizo lake ni nini hasa wakuu.
 
kuna mwingine anaitwa Sam Mahela, ni kama analazimisha fani
 
Embu nisaidieni jaman,sam mahela ule ni mkorogo kama wa nepi au macho yangu?
 
je nyie mlipata kumsikia "Ben Kiko" anavyo ripoti

Naam, kwa mtu aliyepata kumsikia Ben Kiko akiripoti hasa katika kipindi cha majira au michezo cha RTD miaka hiyo atajua namna watangazaji walivyokuwa na mbwembwe. Bahti nzuri ni kwamba mbwembwe za Ben Kiko zilikuwa zinavutia na kumfanya mtu utamani kumsikia mara kwa mara.
 
Anaboa sana na maneno yake anayoyarudia rudia kila siku. Kwa mfano akianza kumpamba Niyonzima lazima aanze na "kiungo mwenye chenga zisizomithilika....", au Yanga "kutoka mitaa yenye jina la mnyama mwenye shingo ndefu...". au Simba " kutoka mitaa yenye pilikapilika nyingi...
 
Back
Top Bottom