Chombo cha habari kikubwa kama hicho..wanaweza wakafanya mawasiliano na wahusika wakapata authentic picha na zenye ubora kutoka kwao directly kuliko hii ya kugoogle search na kudownload..kuna siku walidownload picha hadi ya raisi Magufuli..nikashangaa vp wanashindwa kuwasiliana ata na kitengo cha habari cha ikulu wakapewa picha zenye ubora ...wanatia kichefuchefuHebu washauri wafanye nini kupata picha bora zaidi?
Hapo utakuwa umewasaidia kuliko kumponda tu kivuyo.
weka CV ya Kivuyo, hao ni form 4 failures!Nashangaa kituo kikubwa kama ITV wanadownload picha google na kuziweka kwenye taarifa ya habari. Hamuoni kama resolution ya picha inakua distorted na hvyo kutokuonekana vizuri au kutokuonekana kabisa!! Ina maana hapo ITV hakuna wataalamu wa IT ambao wanaweza kuwashauri njia nzuri ya kuchukua hzo picha. Mnanishangaza kweli.