daviey69 JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,234 Reaction score 873 Nov 29, 2013 #1 goodafter kazi to JF wote. naomba muongozo kwa mwenye kujua how i can change my user name here on JF.
goodafter kazi to JF wote. naomba muongozo kwa mwenye kujua how i can change my user name here on JF.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,965 Reaction score 77,257 Nov 29, 2013 #2 Mkuu Mwandikie Invisible E mail / PM kuomba kubadili username hasa ukimpatia na Username mpya. Naamini ukifanya hivyo utasaidiwa maana ni wasikivu sana ni wengi tu huomba kubadili na wamefanikiwa vizuri sana Usisubili kushughulikiwa kwa hii thread hapa ilipo cha muhimu mwandikie huyo Mkuu Invisible.
Mkuu Mwandikie Invisible E mail / PM kuomba kubadili username hasa ukimpatia na Username mpya. Naamini ukifanya hivyo utasaidiwa maana ni wasikivu sana ni wengi tu huomba kubadili na wamefanikiwa vizuri sana Usisubili kushughulikiwa kwa hii thread hapa ilipo cha muhimu mwandikie huyo Mkuu Invisible.