Help: wataalam wa wordpress

UncleJoe

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
624
508
nadevelop theme kwa ajili ya website yangu. theme ni responsive ila ikiwa in mobile mode menu haitokei. wataalamu hebu mnisaidie. natanguliza shukrani
cc Young Master, stefano mtangoo, Kang, Mndengereko na wengine msaada please.

1415466_450415458413329_1966683740_o.jpg
 
nadevelop theme kwa ajili ya website yangu. theme ni responsive ila ikiwa in mobile mode menu haitokei. wataalamu hebu mnisaidie. natanguliza shukrani
cc Young Master, stefano mtangoo, Kang, Mndengereko na wengine msaada please.

Mimi wordpress siyo mtaalamu kwani sijaanza kujifunza hiyo kitu,ila issue ya responsive website inasababishwa na jinsi ulivyo program "CSS file" yako sasa huko kwenye word press sijui pakoje.
Kama unaweza weka CSS file yako hapa utaweza kusaidiwa kiurahisi kuliko.
Ninachojua kwenye mobile web design lazima utarget device widths na utengeneze CSS tofauti kwa width tofauti.
Leta CSS file hata mimi nitakwambia wapi unakosea cheki yangu ukiminimise window width inapungua mpaka sehemu fulani haipungui tena na contents zinapungua.Ila bado najifunza,I am always in motion,sijatengeneza mobile version yake from scratch nimekopa.
Kwa hiyo hata kwenye simu concept ni hiyo hiyo,
Kwa mfano upana wa button zako unaweza kuwa 14% kwenye vifaa vyenye screen size zaidi ya say 760px ila kama device width itakuwa say 400px to 600px button width unaweka iwe 100%.Hii inamanisha kwa device ndogo button zitajaa screen yote zikijipanga kuelekea chini.
Kila kitu unakipa width ya 100% ,leftcolumn,right column etc.
 
check your css file, where you start your media queries on this block
Code:
[COLOR=#000000]@media all and (max-width: 750.76923076923px){
}
[/COLOR]

The problem starts inside that block of code so kama unajua css you will figure it out, kama haujui, then inabidi ujue maana as you say on your site, you are a web designer, or you can create a html only version of your template, put it on a github repository wapatie watu access then i'm sure people will help you out.
 
kaka kwa full browser ya simu inatokea fresh tu inawezekana tatizo ni opera mini yako

V0wNFRF.png

huo weusi kwa web yako ni just setting zangu kwa ajili ya usalama wa macho.
 
check your css file, where you start your media queries on this block
Code:
[COLOR=#000000]@media all and (max-width: 750.76923076923px){
}
[/COLOR]

The problem starts inside that block of code so kama unajua css you will figure it out, kama haujui, then inabidi ujue maana as you say on your site, you are a web designer, or you can create a html only version of your template, put it on a github repository wapatie watu access then i'm sure people will help you out.

kuna kitu kimeniijia kichwani. kesho i will try play with css file. ila nataka nitengeneze child theme kwanza. then nicheze nayo css file. i will come back later jumatatu with my results kama ntafaulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom