Help: wajanja 9t

Help: wajanja 9t

jumaa24

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
97
Reaction score
13
guys ni siku ya tatu now kila nikijiunga na wajanja 9t naambiwa nimeshajiunga na hii huduma nikifanya mambo mpunga unakatwa. inakuaje hii kitu kwa wale wazoefu na hii offer?
 
mkuu mfano umeunga saa 4 na dk 50 usiku then kesho yake kuanzia saa 4 kamili hadi saa nne na dakika 50 hutaweza kujiunga maana still hela yako haijaisha itabidi usubirie saa 4 na dk 51 ndo uunge.

Cha muhimu kua na mpesa uwe unatumia hadi inaisha then mda ukiisha utakua huwezi ku access net unatoa 200 unaunga tena.
 
hili tatizo la kujiunga hata kwangu limetokea jana siku nzima sija jiunga na leo najaribu kujiunga wana sema nimesha jiunga, nime badili line kama 3 hivi tatizo ni lilelile tu, nadhani Vodacom watakua na matatizo katika mitambo yao au wako katika harakati ya kufutilia mbali offer hii
 
Hata mimi jana nimeliwa sh 600 internet teee. Voda kuna namna wanatuibia tu au hudumu zao zinadorora kwa kuwa wamezidiwa na idadi ya wateja
 
hili tatizo la kujiunga hata kwangu limetokea jana siku nzima sija jiunga na leo najaribu kujiunga wana sema nimesha jiunga, nime badili line kama 3 hivi tatizo ni lilelile tu, nadhani Vodacom watakua na matatizo katika mitambo yao au wako katika harakati ya kufutilia mbali offer hii

kweli,watakua wanataka kuifuta
 
mkuu mfano umeunga saa 4 na dk 50 usiku then kesho yake kuanzia saa 4 kamili hadi saa nne na dakika 50 hutaweza kujiunga maana still hela yako haijaisha itabidi usubirie saa 4 na dk 51 ndo uunge.

Cha muhimu kua na mpesa uwe unatumia hadi inaisha then mda ukiisha utakua huwezi ku access net unatoa 200 unaunga tena.

Ndivyo ilivyo
 
wameifuta maana ukiwapgia hawatoi majibu ya kuridhisha
 
nahisi wanafanya makusudi, i think soon or later wataifuta maana hii offer sio ya kawaida
 
Wakiifuta mbona itakuwa mtafutano humu jf maana mabundi wengi wamo humu so kutakuwa hakuna wa kupakua sinema etc.
 
Hii kitu imenikuta pabaya sana, nilikua nashusha game la 13GB yaani niko 86% nilikua nasubiri usiku wa jana nimalizie, yaani Vodacom bhana kweli kazi ni kwetu
 
pole sana NingaR.... labda ndo maana walifyeka na zangu
 
Last edited by a moderator:
halafu siku hizi mbona speed ni ndogo sana au tushakuwa wengi manake siku hizi hata ku download file la mb60 inaweza chukua nusu saa nzima au dk45
 
mkuu mb60 unasubiri usiku si bora ulipie 700 uliishushe fasta kuliko kusubiri vitu vya bure maneno..
 
speed sio ndogo.. Jaribu fanya hivi.. Amka saa kumi na moja.. Download uone speed ilivyo balaa.. Unless kama wameichakachua tokea jana
 
Hii kitu imenikuta pabaya sana, nilikua nashusha game la 13GB yaani niko 86% nilikua nasubiri usiku wa jana nimalizie, yaani Vodacom bhana kweli kazi ni kwetu
game ipi hiyo mkuu?
 
mkuu fanya hivi

Ingia *149*01# kama kawaida fuata hatua zote lkn ukifika ile hatua ya mwisho ya kukubali au kubatilisha we fanya kubatilisha afu anza process ya pili through hiyo hiyo entry afu mwisho kubali

Hapo utaungwa bila ubishi,ukipata shida zaidi usisite kusema
 
mkuu mb60 unasubiri usiku si bora ulipie 700 uliishushe fasta kuliko kusubiri vitu vya bure maneno..

kaka zamani nilikuwa nashusha mpaka 1gb kwa siku lakini siku hizi naishia vi file vya mb 60 kawa sababu ya spidi ndogo
 
Back
Top Bottom