Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
kweli,watakua wanataka kuifuta
teh teh, lah! sidhani kama wako mbioni kufanya hivyo, kwa siku hizi mbili tatu network yao imekuwa sumbufu tu. maana hata Mpesa haikuwa okay. naona sasa iko sawia.
kweli,watakua wanataka kuifuta
Hii kitu imenikuta pabaya sana, nilikua nashusha game la 13GB yaani niko 86% nilikua nasubiri usiku wa jana nimalizie, yaani Vodacom bhana kweli kazi ni kwetu
bado mpesa inasumbua. nimeweka hela kwenye line jana mpaka saa hizi sijazionateh teh, lah! sidhani kama wako mbioni kufanya hivyo, kwa siku hizi mbili tatu network yao imekuwa sumbufu tu. maana hata Mpesa haikuwa okay. naona sasa iko sawia.
bado mpesa inasumbua. nimeweka hela kwenye line jana mpaka saa hizi sijaziona