HELP!!!Tips:How To Control Steering&Accelerator.

Ntakasi

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
1,431
Points
1,195
Ntakasi

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
1,431 1,195
Hellowz......
Mamboz Swahibaz.....
Jamani nimeanza driving lessons and my partner is the instructor....(you can imagine the yelling ....)
sasa kinachonipa stress ni kukanyaga mafuta ......najikuta nakanyaga sana au kidogo sana.....pia kwenye steering,i feel hopeless nashindwa kucontrol gari....please any tips for a beginner like me?......
Natanguliza Shukrani!

Ntakasi.
 
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
8,489
Points
2,000
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
8,489 2,000
Usiogope hiyo ni kawaida kwa beginners wengi... kwa upande wa mafuta unatakiwa kuweka mguu tu na ustumie nguvu...hebu fanya mazoezi kwanza ya kukanyaga mafuta wakati gari iko kwenye parking ikiwa kwenye silence then uwe unaiskia inavyovuma kadiri unavyokanyaga...kimsingi haitakiwi kuvuma kabisa inatakiwa ibadili mlio kidogo tu na hakikisha unavyokanyaga mshale wa rpm uwe chini ya 2 rpm na ikifika 2 rpm achia mafuta kidogo then ukanyage tena kidogo bila kufika 2 rpm... fanya hivyo kwanza ikiwa silence halafu utaelewa ni kwa kias gani kumbe unapaswa kukanyaga mafuta.

O

Omnibus

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
208
Points
0
O

Omnibus

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
208 0

Mkuu watu kama ninyi ni muhimu ktk jamii kwa hili umewasaida wengi. :smile-big:
 
Ntakasi

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
1,431
Points
1,195
Ntakasi

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
1,431 1,195
Usiogope hiyo ni kawaida kwa beginners wengi... kwa upande wa mafuta unatakiwa kuweka mguu tu na ustumie nguvu...hebu fanya mazoezi kwanza ya kukanyaga mafuta wakati gari iko kwenye parking ikiwa kwenye silence then uwe unaiskia inavyovuma kadiri unavyokanyaga...kimsingi haitakiwi kuvuma kabisa inatakiwa ibadili mlio kidogo tu na hakikisha unavyokanyaga mshale wa rpm uwe chini ya 2 rpm na ikifika 2 rpm achia mafuta kidogo then ukanyage tena kidogo bila kufika 2 rpm... fanya hivyo kwanza ikiwa silence halafu utaelewa ni kwa kias gani kumbe unapaswa kukanyaga mafuta.

Ahsante Sana Pat.....umenipa darasa muhimu hapa....nitafanyia kazi!!
 
wajingawatu

wajingawatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Messages
972
Points
225
wajingawatu

wajingawatu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2013
972 225
Usiogope hiyo ni kawaida kwa beginners wengi... kwa upande wa mafuta unatakiwa kuweka mguu tu na ustumie nguvu...hebu fanya mazoezi kwanza ya kukanyaga mafuta wakati gari iko kwenye parking ikiwa kwenye silence then uwe unaiskia inavyovuma kadiri unavyokanyaga...kimsingi haitakiwi kuvuma kabisa inatakiwa ibadili mlio kidogo tu na hakikisha unavyokanyaga mshale wa rpm uwe chini ya 2 rpm na ikifika 2 rpm achia mafuta kidogo then ukanyage tena kidogo bila kufika 2 rpm... fanya hivyo kwanza ikiwa silence halafu utaelewa ni kwa kias gani kumbe unapaswa kukanyaga mafuta.

Kinadharia uliyosema ni kweli, lakini kivitendo siyo sawa. Gear ikiwa kwenye neutral/free accelerator pedal inakuwa laini unapoikanyaga. Ukiweka gear, accelerator pedal inakuwa ngumu kidogo, hivyo inakubidi utumie nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa kwenye free. Kuweza kuelewa utumie nguvu kiasi gani wakati wa acceleration ni function ya time, experience na aina/ukubwa wa gari.
 
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
8,489
Points
2,000
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
8,489 2,000
Kinadharia uliyosema ni kweli, lakini kivitendo siyo sawa. Gear ikiwa kwenye neutral/free accelerator pedal inakuwa laini unapoikanyaga. Ukiweka gear, accelerator pedal inakuwa ngumu kidogo, hivyo inakubidi utumie nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa kwenye free. Kuweza kuelewa utumie nguvu kiasi gani wakati wa acceleration ni function ya time, experience na aina/ukubwa wa gari.
My wife had same trouble with acceleration na hii ilimsaidia sana na hata katika matumizi ya Brakes alikua anakanyaga kwa nguvu, so pamoja na kuwa kuna huo utofauti kwenye gear na inapokua free bado inamsaidia mtu kujua ni utaratibu upi wa kukanyaga mafuta unafuatwa.... tuko pamoja
 
Forum statistics

Threads 1,326,865
Members 509,632
Posts 32,237,779
Top