help! "this copy did not pass genuine windows validation"

kajiti

Member
Oct 19, 2011
59
7
Ninatumia windows xp service pack 2 na niliiactivate kwa kutumia keys, lakini baada ya muda inanipa msg "this copy did not pass genuine windows validation" na kwenye desk top kuna maandishi "this copy did not pass genuine windows validation" Nafahamu kuondoa msg hiyo kwa fanya edit in registry ila njia hii imefail. Naomba anayefahamu njia mbadala au software ya kuondoa msg hii
 
Hili ni tatizo tunalopata watumiaji wa hizi copy za uswahilini, hata Wind 7 huwa inatokea hivyo hivyo.
Unaeweza ujafanya installation, ukaactivate vizuri na ikasoma kwamba sasa windows yako ni genuine.
Shida inakuja pale tu unapokubali kuifanyia updates, hapo ndipo wanaoishtukia. So wasiwasi wangu
ni kwamba pengine unaweza kufanikiwa kwa njia hizo hapo juu, ila ukianza update tatizo likarudi kama mwanzo.
Na hili lipo hadi kwenye baadhi ya copy za Microsoft Office.

Ushauri wangu ni kwamba ujaribu kupima faida za updates na hasara kisha uone, kama vipi izuie automatic update.
 
Back
Top Bottom