HELP: Proxies with Resume Capability

HELP: Proxies with Resume Capability

Fikra Pevu

Senior Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
128
Reaction score
20
Kwa mtu yeyote mwenye proxies zenye resume capability naomba azitume humu. Proxies pekee zenye resume capability nilizokuwa nazitumia ni za Epic Tunnel, lakini naona zimekuwa blocked.
 
so far nadhani wanaifanyia marekebisho site yao! kuna 216.155.153.105:80 sema haisaupport mediafire na site nyingine afu iko limited kwa size 205.134.229.219 inabrowse fast bt haidownload.... embe endelea kusubiri mi pia natafta hapa.
 
Kwa mtu yeyote mwenye proxies zenye resume capability naomba azitume humu. Proxies pekee zenye resume capability nilizokuwa nazitumia ni za Epic Tunnel, lakini naona zimekuwa blocked.

85.31.186.21

31.193.139.10
 
Kwa mtu yeyote mwenye proxies zenye resume capability naomba azitume humu. Proxies pekee zenye resume capability nilizokuwa nazitumia ni za Epic Tunnel, lakini naona zimekuwa blocked.

Soon i will post backqueries na frontqueries utaachana na proxy zinaboa
 
kaka hilo litakuwa jambo la msingi coz hizo proxy ulizotoa dont have resume capability juc tried em

Zinazo sema zinazingua kaka mfano nkidownload na opera circle brain ina resume mediafire files ila nkitumia browser nyengine upuz hairesume zinakua zina vary
 
Back
Top Bottom