Help please

Help please

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,171
Reaction score
31,357
Nimepoteza huawei ascend g510.

Sikumbuki akaunti ya gmail ya simu ile bt nina imei no.
Any help please it contain many vital information.
Please!

Sijalala nasubiria notification ya sim change alert bt mpaka mda huu sijaipata asa sijui imejideactivate.
 
Nimesema very vital information ok kama kuiblock visileak au niaje.
Hayo ya kununua nyingine si issue maana hizo zingine nimezifungia tu ndani
amu android ni os ambayo haipo secure kihivyo..!! Hamna njia ambayo unaweza kufanya kumzuia mtu asivione vitu vilivyopo humo labda kama ataamua ku wipe data zote mwanzoni tuu kabla hajaiwasha. Na mara nyingi mtu wa hivyo huwa hai format sd card zaidi akijua aliyekuwa akiitumia ni wakike
 
Last edited by a moderator:
Ahsante

Let me wait for the consequences ha ha atafaidi pozi za my young sisy 6yrs.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante

Let me wait for the consequences ha ha atafaidi pozi za my young sisy 6yrs.

Nikafikiri zipo na zile zinazopendwa na wengi!! Kama ni za 6yrs kid tuu wala usiwazie hizo lazima zishafutwa
 
Nikafikiri zipo na zile zinazopendwa na wengi!! Kama ni za 6yrs kid tuu wala usiwazie hizo lazima zishafutwa

Nachowazia hizo information baaas.
Sijajua nani anayo labda aliyenayo ndo tunayepambana nae.
 
Serious hukumbuki Gmail account ya device yako?

Androids ili ufanye wipe-up ya data zako ukiwa mbali ni lazima uwe umesha install security apps flani before hujaibiwa/hujapoteza.

Ila sidhani kama atakaeiokota anaweza anza kudeal sana sana na contents. Wengi tamaa wataanza kudelete kimoja kimoja na kama mtaalamu anafanya hard reset ili auze. GameOver. You are safe.
 
Back
Top Bottom