Help please!

babu wa loliondo alifanikiwa akiwa na miaka 70+, muda wako ukifika yatakaa sawa. Haimaanish ulale usubir muda ufke kwani hujui ilivyo kesho yako.

nimecheka sana,umesababisha asubuh yangu ianze vizuri,kweli mfano wako uliotumia ni mzuri,ila mafanikio ukiwa kijana nayo ndo inapendeza zaidi au sio?
 
Aya mkuu Elisha Mahenge suala lako nitalipeleka kwa wahusika
 
nimecheka sana,umesababisha asubuh yangu ianze vizuri,kweli mfano wako uliotumia ni mzuri,ila mafanikio ukiwa kijana nayo ndo inapendeza zaidi au sio?

umesoma hapa.......Haimaanish ulale usubir muda ufke kwani hujui ilivyo kesho yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…