Help please: Mawasiliano ya chuo cha Mi̇pango Dodoma

slyve Ramon

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
65
Reaction score
34
Habarini wakuu kwa yeyote anaesoma pale au anaekifahamu vizuri plz nisaidie hata contact nikuchek I need to know about some stuffs kama Hostel zake na vinginevyo plz wakuu nisaidieni mdogo wenu
 
me udom but mipango ninamarafiki nnavojua mimi mipango wengi wanapanga rum self ni 50-70 No 0678049122 UNAWEZA NICHEK HAPO
Habarn wakuu kwa yeyote anaesom pale au anaekifahamu vzr plz nisaidie ata contact nkuchek i need to know about some stuffs kama Hostel zake na vinginevyo plz wakuu nisaidieni mdogo wenu
 
Hostel zipo kuna maps,lapf na ndani ya uzio wa chuo zinaitwa sumaye
 
Hicho chuo achana nacho hakivumi lakini kimo... Mkienda kucheza mtarudi mnalia najivunia kuwa mwanafunzi wa mipango.. Nicheki inbox nikupe namba ya dogo yupo hapo mwaka wa tatu.. Atakusaidia kupata hostel au nyumba za nje kama unataka.. Ukae mbwanga..miyuji..mpamaa..upendo au maeneo ya don bosco..muende mkasome sana..msifate mkumbo mmesikia wazazi wenu tuna tafauta hela kwa shida sana
 
Thanks kwa ushauri
 
Thanks kwa ushauri
Hostel gharama sana ndugu arafu kama umezoea maisha yako ya pekee yako..hostel hutaweza mana mnaishi kuanzia watu wawili hadi wanne..pia hostel nyingi hawa ruhusu kujipikia...kiukweli huta juta kusoma mipango...nakipenda sana chuo cha mipango ila ndo hivyo tena maisha lazima yaendelee..
 
Aisee shukrn San kk now nmepat mwanga
 
Me development finance and investment plannin'
Aise hii course nasikia ni bingo sana ,ila uwe makini sana cause ukigraduate na gpa nzuri una faida sana yani kuna msela wangu ni graduate wa last year sahivi mtu mwingine kabisa yani we pambana
 
Daaa asee shukran San kk wacha nkapambane vilivyo yn
 
Back
Top Bottom