Sio rahisi kuijua kwa kuiangalia tu. Majority ya hizi za 20-30 thou ni feki, inabidi uende duka unaloliamini au mtu akuelekeze kwa experience, naweza kukwambia pale posta mpya pembeni ya Postal Bank kuna duka wanauza za Anker zicheki Amazon.com original na mtaa wa India mjini karibu na duka la Magereza wanauza original za A-Data nazo nzuri.