Help on iphone

mimi05

Member
Nov 11, 2010
46
3
Tafadhali naomba msaada, iphone yangu iliisha charge ikazima.nilipoweka katika charge nikaiwasha ila haikuwaka hadi sasa tokea mchana ilipozima.Nimejaribu kubadili charger,port etc. but in vain,nimetoa line nikarudisha bado haiwaki,nifanye nini? Naomba mnisaidie wataalamu.
 
Kuna fuse ya power ikilegea anytime cm huzima au km uliiplug kwenye high current ya umeme iyo fuse ikaungua ina maana haitaweza tena kupower kuwaka usiwahishe kw mafund tafuta original charger jaribu tena ikishindikana nenda shopperz plaza kuna wahind flan pale ni expert wa iphone watakusaidia.. though wako expensv kdgo!
 
Asante sana ndugu yangu,nimeshajaribu original charger ikakataa,nitaipeleka hapo shoppers plaza,uwe na usiku mwema.
 
Wala usiende kokote we iache tuuu kama siku mbili tatu then ichomeke kwenye charge mkuu, me imeshatokea nikawa nimeipoetezea nikashanga after two days nikaichomeka kwa charge ikawa inapiga mzigo kama kawa, usiipeleke kwa hao jamaa watakuchomoa fedha kibao za bure bure
 
Back
Top Bottom