mimi05
Member
- Nov 11, 2010
- 46
- 3
Tafadhali naomba msaada, iphone yangu iliisha charge ikazima.nilipoweka katika charge nikaiwasha ila haikuwaka hadi sasa tokea mchana ilipozima.Nimejaribu kubadili charger,port etc. but in vain,nimetoa line nikarudisha bado haiwaki,nifanye nini? Naomba mnisaidie wataalamu.