hata mm leo simu yangu nokia e71 pia imeonesha kukataa kwa mara ya kwanza wanataka niangalie usb connection mode na sijawahi kupangua settings sasa pia sijui tatizo nn wakubwa
Habari zenu wadau! Simu yangu Nokia e71 haionekani kwenye computer nikiiconnect kwa usb lakini ukiangalia kwenye simu inasema ipo connected....
Sijajua tatizo nini! Kwa anaelewa naomba anisaidie kutatua hili tatizo!
Heri yako wewe mi hata sijaambiwa nifanye nini! We nenda kwenye tools>settings>conectivity afu chagua mass storage itakusaidia kusolve hilo tatizo!
Kwenye Nokia e71 na Symbian nyingi huwa kuna choice kama tatu kwenye USB Connectivity; Mass Storage, PC Suite & Data Transfer. Sasa kama ukitaka simu yako ionekane, Connect simu halafu chagua choice kati ya hizo tatu. Kama kwenye PC Suite hakikisha umefungua Nokia PC Suite, Na kama ni mass storage na hata pia kwenye data transfer. Kama simu haitaonekana jaribu ku-manage computer yako kuangalia kama kuna drivers zilizokosekana. Na pia hakikisha kila mara baada ya kumaliza kazi zako uwe una-remove simu kwenye Devices kwenye C. Panel