Help:nimechapiwa sijui nifanye nini

Akikusamehe uache ujinga wako wa kuhadithia kila kitu hadi visivyohadithiwa

nadhani yuko sahihi kuhadithia alichofanya kwa mpenziwe, kwanza ameutua mzigo ambao ungelimsumbua kwa muda mrefu na pili atakuwa makini kutokurudia kosa alilofanya la kumtenda mpenziwe! Ingawa mara nyingi huwa tunafanya maamuzi kwa kuongozwa na hasira mi nadhani kumsamehe ni uamuzi mzuri zaidi!
 

Kimsingi mpaka umri huu nawafahamu mabwege wengi mno.Lkn sasa bado sijaona ----- wa kukufikia ww japo nusu tu ya ubwege ulionao.Km amekucheat,amethibitisha pasipo shaka kabisa kwamba amefanya hivyo kwa kukiri kwa kinywa chake mwenyewe,bado unakuja kutuomba ushauri wa nn cha kufanya?Hv kweli hujui cha kufanya au ww ni ile aina ya watu wenye very low self-esteem km bwana mkubwa pale magogoni so wanapotaka kufanya maamuzi inabidi wapime upepo kwa kuangalia wengi wanasemaje? Kijana simamia principles zako,amekucheat piga chini,women are everywhere kachukue kifaa kingine. Unamsamehe so what? au unapenda sana sharing sio?
Eti atajiua ukimwacha.....Nyambafu, let her die, kwani siku akifa na ww utakufa?? That's an offence against oneself,absolutely none of your business.My very handsome piece of advice to you comrade,achana na huyo mwanamke,km anapenda kifo cha kujiua so be it,let her kill herself ingawa mi naona hiyo ni kutishiwa nyau tu,unacheza na kifo wewe?!!Kimbia ukimwi kwa nguvu zako zote na akili zako zote na moyo wako wote.Take it,or leave it. Ni hayo tu.
 
halafu ukishamsamehe jua yeye na wale wote wanaoijua ishu nzima watakuona ----- na aliyekuchapia ataendelea kwa kasi
 
Kama bado unampenda mpokee tu. ni ajali tu hiyo

Ni kweli siss. Mbona hata sisi huwa tunasamehe tena 7x70 lol! Ila huyo msichana kishoiya cha mwisho! anadhani ku confess ndiyo ataonekana saint.
Dawa ni kuwa kimya! Wao wakicheat huwaga wanaconfess?? Ujin.ga tu!
 
wanawake wa siku hizi majanga yan anachapwa nje harafu anakuja kukwambia amechapwa wewe utakuwa bushoke

Hata Mimi nakubaliana na wewe. Alidhani atapewa nishani, kumbe anajiharibia kabisa. U.puuzi mtupu.Bora angekaa kimya, kwani k haina makombo babu we!
 
Wanaume ..... Very selfish

Nyie mkilala nje mnataka msamehewe

Ila wanawake wanageuka uchafu



Siyo selfish wao ni wajanja. Hata sisi tunatakiwa kuwa wajanja kama nyoka lakini wapole kama huwa. Kama si kukosa akili ni nini sasa kumuambia mpenzio au mumeo eti nimecheat nisamehe.... Mwanadamu ni ngumu kusamehe ni Mungu pekee ndiye awezaye kumeza na kusamehe.
 
Mkuu huyo hakufai kabisaaa. Tafuta ambaye atakucheat halafu hatakuwa anasema... Nadhani jambo baya usilolijua haliwezi kukudhuru.
 
....Wamekuja na mastori yao ya kutunga!wanawake unawajua?wana saikolojia kali sana na wanaongea sana mambo mengi kuhusu wanaume kwa ujumla!wanatujua sana sana!ngumu sana kukwambia hivyo!jiulize kwa nini amekuja kusema?maana sio rahisi kwa mwanamke kukubali kuliwa!tafakari!
 
haya mambo ya tamthilia za kina Alehandro zinaharibu sana vijana wengi wa sasa.................
 
Wanawake bhana nimexheki comment zenu ooh mwache ajiue tu mnaona utamu ngoja yawakute na nyie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…