Mkuu, siyo kifaru ila ni hiyo shield ya kuzuia Risasi. ingawa wengi wana-generalize kwa kuita tank etcKumbe kifaru mkuu
Asante mkuu kwa kudadavua. ila mimi natafuta hiyo shield ya kuzuia Risasi, inayokuwa connected na Bunduki. Nimezikuta Libya, ila usafirishaji wake ndo issue. sijui kwa kitaalam wanaitaje, though wengi wana-generalize into APCArmoured personal carrier ni gari lolote la kubeba askari ambalo haliingiwi risasi,yaani limetengezwa in a way kwamba hatari ya kupigwa risasi ukiwa ndani yake ni ndogo sana,japo unaweza wewe kuimprovise landrover lako ukalisuka likawa armoured,
nijuavyo ile inayokuwa na mtutu inaitwa Fighting Amoured Vehicle,
Amoured Personal carrier kazi yake ni kuship troops from one point to another with minimum exposure to enemy fire
Mkuu, usalama upo ingawa siyo full kabisa...Vipi mkuu usalama upo??
bullets proofsAsante mkuu kwa kudadavua. ila mimi natafuta hiyo shield ya kuzuia Risasi, inayokuwa connected na Bunduki. Nimezikuta Libya, ila usafirishaji wake ndo issue. sijui kwa kitaalam wanaitaje, though wengi wana-generalize into APC
Nakushauri nenda kambi yeyote ya jeshi iliyo karibu nawe.Mkuu, usalama upo ingawa siyo full kabisa...
Hahah...with Literal interpretation, thread itaonekana yenye ukakasi.... lakini jiulize uko salama kwa kiwango/kiasi gani? je wanaokulinda unawajua? je maadui wa nchi yako unawajua? Unajua waasi wa ADF walitumwa na nani kuwauwa ASKARI/WANAJESHI WA TANZANIA?...anyway, nikutakie maandalizi mema ya sikukuu ya Noel...bless upThreadHii Imejaa Ukakasi Yaani Ununue Hiyo Uilete Tanzania Bora Ukatumie Libya Ulipoziona
HaaHahah...with Literal interpretation, thread itaonekana yenye ukakasi.... lakini jiulize uko salama kwa kiwango/kiasi gani? je wanaokulinda unawajua? je maadui wa nchi yako unawajua? Unajua waasi wa ADF walitumwa na nani kuwauwa ASKARI/WANAJESHI WA TANZANIA?...anyway, nikutakie maandalizi mema ya sikukuu ya Noel...bless up
Hili dude unatafuta la nini ndugu, umeanzisha kikosi cha waasi?Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwenye kujua wapi naweza kupata hicho kifaa al-maarufu kama APC hasa kwa upande wa Tz asaidie na hakika itapendeza sana. kwa kifupi, kuna blacksmith wanachonga hizo tools lakini ni huko libya...na sina uhakika kwingineko.
natanguliza shukrani
View attachment 655560
mkuu, dunia hii ni pana na duara haswaa! Hiyo kitu nilishapata mkuu na mission ilishakuwa completed kitamboo.Hili dude unatafuta la nini ndugu, umeanzisha kikosi cha waasi?
Haha hahah uisafirishe uilete wapi au umekata tamaa ya maishaAsante mkuu kwa kudadavua. ila mimi natafuta hiyo shield ya kuzuia Risasi, inayokuwa connected na Bunduki. Nimezikuta Libya, ila usafirishaji wake ndo issue. sijui kwa kitaalam wanaitaje, though wengi wana-generalize into APC
Mahandaki ya kujificha umeshayachimbamkuu, dunia hii ni pana na duara haswaa! Hiyo kitu nilishapata mkuu na mission ilishakuwa completed kitamboo.