Unajua kufukua mambo haya hajaolewa mpaka sasa bado mchizi anasikilizia michongohelow,, upo utusimulie kama alikuoa au uli move on,,, kumbe vijana wa hovyo walikuepo toka enzi za kale saivi ni muendelezo tu
kwani wew ndo yeye?Unajua kufukua mambo haya hajaolewa mpaka sasa bado mchizi anasikilizia michongo
Nimesimama badala ya mwamba maana alikua baba wa kufikiakwani wew ndo yeye?
kwahiy na wew ni yule wa kuhit and run si ndio mwanetuNimesimama badala ya mwamba maana alikua baba wa kufikia
Tatizo alikua ashakua mshangazi tayarikwahiy na wew ni yule wa kuhit and run si ndio mwanetu
mshangazi wapi na wew,, mbona haukuacha kulowekaTatizo alikua ashakua mshangazi tayari
๐๐ wajukuu hamna adabuTatizo alikua ashakua mshangazi tayari
๐๐ Id ya mtoa nyuzi mara ya mwisho active ilikuwa 2022.Ilikuwa kidogo nianze kumwaga maushauri kumbe post ya miaka takriban 18 iliyopita?
ungemwaga tu labda matatizo yake yanaendana na mfufua uzi [emoji2]Ilikuwa kidogo nianze kumwaga maushauri kumbe post ya miaka takriban 18 iliyopita?
khaaaa ๐คจungemwaga tu labda matatizo yake yanaendana na mfufua uzi [emoji2]