Help Me Out

kwa kuepuka balaa hebu achana na hiyo line...ni bora nusu shari kuliko shari kamili
 
ushauri wangu : get a life and stop bothering with iddiots who have a lot of time to play around with their stinky silly cheap free call packages!:hat:
tupo tofauti, mimi nimeyafanya niliyoyafanya.. nini ushauri wako?
 
Yaani wewe unakuja kutuuliza aliyekupigia ni jinsia gani

Una hatari sana wewe!
 
Pole mkuu, mtu nisiyemfahamu huwa kabia hanibabaishi katika simu!!! Tena line yangu!!! Kama namba ilikuwa inatumika awali na mtu mwingine hasa hizi za 078x kwa airtel huwa namwambia kabia aliyekuwa na hii namba atakuwa aliacha na mimi ni mtumiaji mwingine. Akitaka jina langu huwa ni rahisi tu kuwa ''mimi si yule unayemtafuta, asante nashukuru' nakata simu.
 
Umekutana na kinyamkera mtaka penzi...
 

Kweli kabisa,kuna siku niliwasiliana na ndugu yangu yupo (dar) kwa kutumia namba yake ya voda,akapokea binti,mi nkajua mchepuo.......kupeleleza binti yupo mtwara namwambia mpe mwenye simu niongee nae binti ana niambia yeye ndo mmiliki na huyo ndugu hamjuhi
 
Why on earth should that bother you sasa? Au unamtaka huyo mdada usiyemjua?
Ever heard of the parable 'Curiosity kills the cat' ?
Ndiko unakoelekea sasa. We umepigiwa simu na mtu. Humuelewi, Si uachane naye apige mpaka aeleweke ndo ujue umsaidiaje? Angekuwa mwanaume ungehangaika naye hadi kumfungulia uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…