Help Me Out

Mmmh wanasemaga kuna viumbe wengine zaidi ya binadamu !!
 
Pole sana hayo ni mauzauza jini hilo! Badili namba ya laini then wape friends zako! Alafu kama akiendelea kimbilia kanisani

Sent from my BlackBerryQ10 using JamiiForums
 
Pole sana hayo ni mauzauza jini hilo! Badili namba ya laini then wape friends zako! Alafu kama akiendelea kimbilia kanisani

Sent from my BlackBerryQ10 using JamiiForums

asante mkuu
 
Inawezekana hiyo line haikuwa inatumika kwa muda mrefu sana badala yake kampuni husika wakaiondoa kwenye system, walipoipa uhai kwa mara nyingine tena kwa mteja mpya (ambae ni wewe) huyo binti inaelekea katika phonebook/contact zake namba hakuifuta, labda ilikuwa kama bahati siku anayomtafuta mwenye namba ya awali na wewe ndio siku uliyochukua uliyoweka line mpya
 
Jifanye unamjua kwa sana, usimuulize maswali ya kutaka kumjua, akipiga ongea naye kama mnajuana vizuri na usimtukane. Ukifanya hivyo ataacha au atakuambia yeye ni nani. Lengo lake kubwa ni kukushangaza, usipomshangaza ataishiwa pozi.
 
vipi kuhusu ile sauti nisiyoielewa? Na vipi kuhusu hilo jina, ushawahi kulisikia hata moja wapo?
 
Jifanye unamjua kwa sana, usimuulize maswali ya kutaka kumjua, akipiga ongea naye kama mnajuana vizuri na usimtukane. Ukifanya hivyo ataacha au atakuambia yeye ni nani. Lengo lake kubwa ni kukushangaza, usipomshangaza ataishiwa pozi.

mkuu, kama nilivyoeleza, nilimpigia na nikawa nasikia vitu vya ajabu tu, labda kama atapiga yeye
 
Natamani ningekuwa na muda wa kuwa na wasiwasi kwa vitu vya kipuuzi kama wewe. Dah! Nikikuta missed call nikairudisha na ikaita mara tatu bila kupokelewa, sahau!
 
Natamani ningekuwa na muda wa kuwa na wasiwasi kwa vitu vya kipuuzi kama wewe. Dah! Nikikuta missed call nikairudisha na ikaita mara tatu bila kupokelewa, sahau!

tupo tofauti, mimi nimeyafanya niliyoyafanya.. nini ushauri wako?
 
ni mambo ya mtandao hayo"

inawezekana amekosea namba! take it easy
 
Kuwa mvumilivu na roho ya kijasiri picha halijaisha hili..
 
mie sihangaikag na hao watu, as long as niko vizuri bila kumjua, nafuta namba hizo fasta na sitaki kujipa stress hata ya kumchek kokote kule sababu huyo si mstaarabu. Ushauri wangu achana nae na asikutie mawazo
 
asante
 
Hebu save hyo namba! Jina andka Jini, alafu akpga tena ucjarbu kupokea,unampotezea afu tuone kama ataendlea kukutafta
 
Potezea huenda karekodi hizo sauti za ajabu sehemu ukimpigia anazi-play kukuzingua tu.
Mweke blacklist na we usimpigie CASE CLOSED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…