Help me get out of this!!!!

Help me get out of this!!!!

haaa haaaaa!!aka ka dogo kamezidi kukokpy na kupaste mawazo yake mwenyewe kanakera aka dahh!

inakera sana mtu amekuja hapa anatafuta solutions alafu yeye anamuongezea stress, natamani kuwe na zamu ya kuwa MOD kwa kujitolea angalau kwa siku tu..
 
Rafiki amua kwa nguvu zote kuacha angalia porno, clean your computer na usiingie kwenye website za porno.

Pray ukiweza funga kwa 9days (novena)

Hakikisha hauruhusu idle time.

Oga bafuni na mkeo, mnaweza kupeana cha bafuni mawazo ya punyeto yakikupanda.

Ukiweza kwa juma moja utaweza kwa mwezi, mwaka na rest of ur life time.
 
Unahitaji maombi tu ndugu yangu na hali hiyo itakwisha kabisa,tafuta mahali popote penye huduma ya maombezi kaa na mtumishi wa Mungu mueleze mwanzo mwisho wa yale yanayokusibu ukiombewa hakuna tena kubeba hilo li mzigo,Neno la Mungu linasema njooni kwangu ninyi nyote wenye kulemewa na mizigi dhambi zenu zijapokuwa nyekundu zitakuwa nyeupe kama theluji.Chukua hatua na hayo yote yatakwisha utakuwa huru
 
I feel very proud of u kwa kuikataa hali hiyo ikiwa wengine wanaikumbatia hilo tatizo nikubwa linaaribu nguvu za kiume ukifanya mda mrefu pia lina punguza nguvu za manii na kusababisha ugumba kwa wakina baba kwani wataalam husema kua bao la kwanza ndio lenye nguvu na freshi kupata mtoto mwenye afya ambapo wanaume wengi hulimwaga chooni pia hupunguza hamu ya tendo hasa unaweza kujikuta humgusi mkeo zaidi ya wiki mbili huchangia kumshawishi mkeo kutoka nje kwani uwezo wa kumkuna kama mwanaume huna kwani sehemu zako zipo hoi kwakusuguliwa na mikono inapunguza mapenzi na kuongeza wivu kwa mwenzio kama kweli unampenda sana mkeo na hautaki muachane acha punyeto la sivyo ndoa utaivunja ili uache angalia disadvantage zaidi ambapo ni nyingi mno
 
Rafiki amua kwa nguvu zote kuacha angalia porno, clean your computer na usiingie kwenye website za porno.

Pray ukiweza funga kwa 9days (novena)

Hakikisha hauruhusu idle time.

Oga bafuni na mkeo, mnaweza kupeana cha bafuni mawazo ya punyeto yakikupanda.

Ukiweza kwa juma moja utaweza kwa mwezi, mwaka na rest of ur life time.

nakubaliana na wewe Kaunga, jamaa anabidi amuombe Mungu wake sana, nimeshuhudia emmanuel tv(scoan) watu wengi tu waki confess kufanya masterbation kwa maisha yao yote kitu ambacho kibinadamu ni nguvu za giza sometimes..
 
Picha za ngono ulizokuwa unaziangalia miaka saba iliyopita haziwezi kuendelea kukuathiri mpaka leo hii na ukizingatia kuwa una mwanamke yuko ndani. Hapo kutakuwa na tatizo lingine.
Inawezekana mkeo anakupimia dozi, labda anakupa size moja ya kidonge cha piriton wakati wewe unahitaji zaidi. Hakikisha unamchapa at least goli tatu yaani tatu, nne,........... Kwa maelezo yako unaonyesha bado huna uzoefu na huwajui wanawake na unawaogopa.
 
ongeza frequency ya kumbandua mkeo utapona.
 
::
Pole sana kaka,,tatizo lako ni addiction ya muda mrefu.Jambo la msingi ni kuwa mwili una tabia ya kuendekezwa na mawazo fulani ya ubongoni ambayo huupa raha.Na ktk ubongo ipo sehemu ndogo sana ambayo hujihusisha na raha na kadri inavyopanuka ndivyo mtu anavyoelemewa na jambo husika mf.pombe,muziki,au masterbation.
::
Ushauri: nguvu ya kurudi ktk hali unayoitaka imo akilini mwako.TAWALA MWILI KWA AKILI sio mwili ushinde akili. Ni wakati wa kutofautisha maisha ya sasa na zamani.
::
Ushauri zaidi unaoweza kukupa msaada,fungua JAMIIFORUM DOCTOR kuna sticky argument inaweza kuwa msaada
::
 
Mimi mwenyewe nimefanya sana masterbation, ila hisia unapozipeleka ndio huko zinapoelekea, kama ww si mnywaji wa pombe anza kunywa utaona hizo hisia zinasepa automatically kama mimi, masterbation ni starehe kama starehe zingine ingwa ni dhambi sawa.,ukishindwa kupata moja baridi moja moto uwe mtu wa kukimbia a.k.a kufanya jogging itakusaidia kukuondoa na mawazo ya kijinga kama hayo. Natumaini umenipata....
 
use your time to keep yourself buys,when you has a spare time go for physical exercise after tht take time to read novels or news paper,but the best thing to do is to make sure no any xxx materisl is arround you,in your laptop or whater device and lastly have time for prayers nd tells GOD to 4give u nd heall you from tht tendency
 
hizi kuta za choo na bafu zinavumilia mengi sana
 
inakera sana mtu amekuja hapa anatafuta solutions alafu yeye anamuongezea stress, natamani kuwe na zamu ya kuwa MOD kwa kujitolea angalau kwa siku tu..

kuna mdau alimwambia hii ni jf NA SIO MWANAMALUNDI FORUM Hakaja kuwa bado katoto juu ya uwepo wake toka 2007 kamekuwa mwili lakin akili za kitoto.
 
mkuu jaribu kubadili sabuni ya kuogea mana nafikiri nayo inachangia, pili acha kuangalia huo ubwabwa
 
STABILIZER!

Mbona tatizo dogo sana hilo.
Piga mashine hadi ngoma ishindwe kuamuka
Isiamke hata ukiiona REVOLA, AYUU au hata Mbuni na Mbunju.​

Nachokiona qako unamuonea huruma mkeo;
Huyo sio nduguyo, charaza mke qa dhakari hadi amani iwe nyekundu;

Ukifanya hivyo halafu ukawa bado na tamaa ya Emperial (little luxury every day);
Rudi qangu nikupe mpango B (plan B)

Bazazi ni Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom