piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
Mkuu uamuzi wa kuacha jambo hili upo kwako we mwenyewe, sema hapana na jitahidi kujibiidisha na usikumbuke picha hzo za x maana kadri ujichuwavyo ndo unazidi kulegeza mishipa ya dushelele na mwisho wa siku hamu ya tendo la ndoa itakuisha kabisaaaaaaa so acha sasa.