STABILIZER
Member
- Jan 7, 2013
- 10
- 13
Ndugu wana JF, hodi hodi,
Nawaletea tatizo langu ambalo limenisibu kwa muda mrefu sasa. Najua humu kuna watu kazi yao kukejeli wenzaon na kukatisha tamaa. please naomba chukulia serious na ujibu serious.
Mimi ni mwanaume 34 years old, nina mke na watoto wawili now. Kabla sijasema tatizo langu, let me brief my short life history. Nikiwa mtoto mdogo nilikulia na kusoma ktk mazingira magumu sana. Maisha yangu yalikuwa ya kugombezwa na hofu, mara nyingi nilikuwa nakosa hata mahitaji na wakati mwingine nililazimika hata kuomba msaada kwa wale ambao sio family members. Nilijiona niko down sana darasani na hata mtaani.
Nakumbuka sikuwahi kuwa na girl friend wala kufanya tendo la ndoa mpaka nilipomaliza chuo kikuu nikiwa 27 years old. Lakini nikiwa chuo kuna siku nilienda room ya rafiki yangu kusalimia nikakuta watu wanaangalia movies za xxx. Nilipatwa na mshtuko fulani ila nikajikaza wasinielewe, it was my first time kuona ile kitu, ghafla suruali yangu ikafumuka nikatoka nje kama vile naenda kujisaidia, ikipoa narudi. Baada ya lile tukio nikajawa na msongo wa mawazo sana.
Nikajikuta nafanya masturbation kutuliza hiyo hali. Walikuwepo wasichana waliokuwa wananivunga kwangu lakini nilikuwa najikuta too late kuja kugundua. One case mpaka nilitukanwa na lady kuwa kitu changu haifanyi kazi. I felt very bad yaani nilijiona kama vile mimi sio mwanaume. Wengine walikuwa wanajileta kwangu lakini nilikuwa najiepusha nao maana la kwanza, huanza kuniomba hela na mimi maisha yangu yalikuwa magumu sana kiasi kwamba boom likitoka nilikuwa natuma nyumbani kumsaidia mama ambaye ndo ananitegemea kwa kila kitu. Baba alishafariki since 1990s.
Baada ya chuo nilipata kazi kwenye taasisi moja ya binafsi. Nikawa nakaa nyumba moja ya kupanga na mfanyakazi mmoja wa kike. Alinifanyia mauchokozi na cku moja ndo ikawa mara yangu ya kwanza kufanya mapenzi. After that nikapata rafiki wa kike ambaye alikuwa karibu sana na mimi na nikampenda sana. Nikampa ahadi ya ndoa akanikubalia lakini akakataa kufanya tendo la ndoa mpaka siku ya ndoa. Nilivumilia tuu kwa jinsi nilivyompenda lakini nikawa naendelea na kufanya masturbation.
After marriage tatizo hili limeendelea kunisibu na kila nikijaribu kuacha nalirudia. Nimekuwa na msongo wa mawazo kuhusu hili tatizo, maana hata nikifanya tendo la ndoa ucku, asubuhi nikienda bafuni unakuta nafanya tena. Zile picha za xx tulizokuwa tuanangalia chuoni zimeniathiri kisaikolojia kiasi kwamba hata ofisini nikiwa sina kazi najikuta naziangalia. Najikuta kwenye majuto na sijielewi nifanye nini niachane na hii kitu.
Naomba mwenye wazo mbadala la kunitoa kwenye hili tatizo abisaidien ili niwe huru. Linanifanya nijiione weak, sometimes nikiwa na binti hata kupiga naye story siwezi yani mpaka aanze yeye mazungumzo ndo mimi nichangie mada
Kama una jambo unaona unaweza kunishauri niinbox