Help me find the job wanajamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help me find the job wanajamii

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by BabaTina, Sep 5, 2008.

?

JE SIYE TUSIOJULIKANA TUTAPATA KAZI ?

 1. NI NANI ATAKAE TUPA KAZI ?

  33.3%
 2. UTAJUAJE KAMA SIWEZI KUFANYA HIYO KAZI BILA TESTING KAMA WASEMA SINA EPERIENCE?

  66.7%
 3. NA JE HUYO ALIYE NA EXPERIENCE KAITOA WAPI ?

  66.7%
 1. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  JAMANI MAMBO VIPI WANAJAMII MIE NI MOJA KATI YA WATANZANIA WASIO NA AJIRA LAKINI NIPO KATIKA MCHAKATO MZIMA WA KUTAFUTA KAZI LAKINI NIMEONA NI BUSARA NIKIWASHIRIKISHA WANAJAMII WENZANGU KATIKA UTAFUTAJI HUU KWANI MPAKA SASA NIMEKWISHA ANDIKA BARUA KIBAO AMBAZO NAHISI ZIMETIWA KAPUNI ZIKISUBIRI HURUMA YA MWENYEZI MUNGU ITOKEE.

  YOU KNOW KUNA HATA BAADHI YA SEHEMU NILIZOPITA WAKANIAMBIA THEY CANT GIVE ME JOB COZ I DONT HAVE ANY EXPERIENCE! WONDERFULL ENOUGH THEY DIDN'T EVEN TRY ME TO SEE IF I CAN DO THE JOB,GUSH!

  SOMEPLACES NILIWAOMBA NIFANYE 'VOLUNTEER' BUT STILL WALINIANGALIA FROM THE TOP OF MY HEAD TO TIP OF SHOE JUST TO SEE IF I AM LOOKING LIKE THEM,I DONT KNOW WHAT THEY RULED OUT OF ME.

  IT SEEMS AS NO BODY KNOWS ME THATS WHY THEY DONT WANT TO GIVE ME A JOB.AS THE REASON PEOPLE I NEED YOUR HELP TOO COZ I BELIEVE KUNA WATU KATIKA HII FORUM WANAWEZA KUTUINGIZA KATIKA KATIKA SYSTEM SIYE TULIOJITUTUMUA KUPATA KAJIELIMU KADOGO TENA KWA MBINDE.

  PLEASE WHEN YOU READ THIS MASSAGE KNOW THAT I NEED YOUR HELP

  I HAVE A B.A in MASS COMMUNICATION

  THANKS.
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Huko ulikotaka kufanya volunteering, walikuuliza maswali yoyote?  .
   
 3. m

  mgirima Member

  #3
  Sep 5, 2008
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  practical training/fieldwork zako ulikuwa unafanyia wapi?

  mara nyingi ukiwa best, hao ndio huwa wanakugombania.

  Kama hawakufanya hivyo, mmh! jiulize kwanza ujue kasoroiko wapi.
   
 4. K

  Kalalangambo Member

  #4
  Sep 5, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I feel so sorry to my brother. This too happened to me, I tried several times to apply for jobs, but, I end up with frustration. Many employers told me that I don't have adequate experience.

  I advised you to join kaziafrica, this is a kenyan website with the objective of helping each other to get job. Even if you're not a kenyan still you could apply and get it. Please don't get tired before you achieve your goal.
   
 5. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Fikiria kuwa mjasiliamali tu ndugu usipoteze muda katika kutafutua kazi ambazo huna uhakika utazipa lini? But najua utaniuliza ujasilia mali bila capital? No kwa kuanzia you can join with some Savings and Credit Cooperatrive societies ambako utajiwekea saving yaho kidogo kidogo kwani kule unaweza kuweka hata sh.1,000 inakubalika and after sometimes utakuwa umejipatia akiba ambayo itakuwezesha kukopa mara 2 au 3 ya akiba yako then you can start moving slowly...Ajira siku hizi zimekuwa ni tatizo ndugu.
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu yangu ila usichoke. Good things never come easily. Nchi yetu bado sana kiuchumi na hasa ukizingatia wachache wanakalia ustawi wetu. Jaribu kuwa mbunifu (mjasiliamali). Ila sikukatishi tamaa ni kazi kweli kupata kazi bongo na ndio maana watu wengi sasa wanakimbilia kwenye siasa ili kupata huruma ya mafisadi. Ushauri wa mwisho kama inakuwa ngumu tafuta kazi ya kufundisha, kuna secondary nyingi hazina walimu nina inami utapata ila wakati ukiendelea nayo jiandikishe kwenye professional bodies ufanye mitihani in a long run utapata kazi professional.
   
 7. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  no they didint ask me any question zaidi ya ulisoma wapi na mambo kama hayo then wakaniambia leave your appication here ndo hadi kesho hawajaniita wakati i know someone ambae ni mdogo hata kieimu kapeleka juzi na kapata chance tayari.
   
 8. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  thanks very much ndg yangu
   
 9. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  i am doing that by the moment but you can also help me to have one
   
 10. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  i appriciate your advice i will do the same brother
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  babatina kuna kazi nimeona VOA angalia chini hapo

  International Broadcaster (Radio)(Swahili)

  SALARY RANGE: 69,764.00 - 90,698.00 USD per year OPEN PERIOD: Wednesday, September 10, 2008
  to Wednesday, September 24, 2008
  SERIES & GRADE: GS-1001-12 POSITION INFORMATION: Full-Time Permanent
  DUTY LOCATIONS: 2 vacancies - Washington, DC
  WHO MAY BE CONSIDERED:
  Applications will be accepted from all qualified applicants.

  Non US citizens may be considered for this position in the absence of equally or better qualified US citizens. If a non-US citizen is selected, he/she will be placed in the Excepted Service.


  JOB SUMMARY:

  This position is located at the Voice of America (VOA) and is responsible for conceiving, planning and writing news-related stories for use in radio in the Swahili Service.

  THIS IS A BARGAINING UNIT POSITION

  Introduction to the Agency: The Voice of America is a component of the Broadcasting Board of Governors. The VOA broadcasts news and information to millions throughout the world in more than 40 languages, via radio, television and the Internet. Our divers, multicultural and dedicated professionals staff correspondent bureaus, transmission stations and marketing offices around the world in addition to our main offices in Washington, DC.


  SOMA LINK HII ZAIDI

  **************************************************************************
  Jitahidi uapply faster nafasi hii wakenya wasije kuchangamkia.......kama ukitaka msaada wowote jus PM me nitakusaidia....MIND YOU TAREHE YA MWISHO NI 24 SEPT
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Babatina ume apply kazi hii?
   
Loading...